Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
Kila kona Tanzania watu wamewadharau na kuwaona ni wapuuzi na washamba kabisa. Kuvamia na kuvurumua gheto la mzalendo mtetezi wa taifa lenu?
Mmeshinda kutwa nzima mitandaoni wanasiasa wa upinzani na wahuni wa Ccm waliozoea kupiga madili. Mkipotosha juu ya Ky Jelly. Upuuzi mkubwa.
Leo hii kila kona ya Tanzania Polepole anaonekana ni shujaa mtetezi wa rasilimali za watanzania asiyeogopa na anayeweza kujenga hoja. Kwa ujumla watanzania wapo macho hivi leo.