Waliomfanyia hujuma Polepole wamedharaulika na kupuuzwa na watanzania. Polepole sasa ni shujaa mzalendo anayetetea maslahi ya Tanzania.

Kila kona Tanzania watu wamewadharau na kuwaona ni wapuuzi na washamba kabisa. Kuvamia na kuvurumua gheto la mzalendo mtetezi wa taifa lenu?

Mmeshinda kutwa nzima mitandaoni wanasiasa wa upinzani na wahuni wa Ccm waliozoea kupiga madili. Mkipotosha juu ya Ky Jelly. Upuuzi mkubwa.

Leo hii kila kona ya Tanzania Polepole anaonekana ni shujaa mtetezi wa rasilimali za watanzania asiyeogopa na anayeweza kujenga hoja. Kwa ujumla watanzania wapo macho hivi leo.

IMG_8738.jpg
 
Wachumia tumbo hoja zao zinawaonyesha wenyewe wajinga. Huwezi pambana na mtu msomi mzalendo wa kweli kwenye kutoa hoja zenye kutetea maslahi ya umma wa wananchi. Watu wameorodheshwa kama wezi wa mali za chama chao eti ndio wako kimbelembele kumpinga polepole. Waomini wakubwa wa umimi na ubinafsi wakubwa hadi wanaona kuibia chama chao na umma ni ujanja na ni halali.
Walaaniwe wote.
Chama cha kijamaa kinapaswa kua na wachambuzi wazuri wa mambo ya kijamii na watetezi wa maslahi ya wengi kwenye jamii. Sio kusemewa na watu walaku na wabinafsi.
 
Ngoja halmashauri kuu wakutane Jumamosi ndio tutajua kama ni shujaa au boigoi!
Unafikiri kamati kuu ya ccm ina watu wajinga kama bulembo. Wanamuelewa vizuri polepole na wala kwenye agenda yao huenda hata issue ya polepole isiwepo.
Anachosema polepole ndicho ambacho ccm kwa msimamo wa itikadi yake ya ujamaa na kujitegemea na sera zake wanatakiwa kufanya.
Kuna wachumia tumbo, nyumbu wafuata malisho, na kasuku wa kukariri na kuimba mistari ya kusifia ndio wanaharibu ccm.
 
Kila kona Tanzania watu wamewadharau na kuwaona ni wapuuzi na washamba kabisa. Kuvamia na kuvurumua gheto la mzalendo mtetezi wa taifa lenu?

Mmeshinda kutwa nzima mitandaoni wanasiasa wa upinzani na wahuni wa Ccm waliozoea kupiga madili. Mkipotosha juu ya Ky Jelly. Upuuzi mkubwa.

Leo hii kila kona ya Tanzania Polepole anaonekana ni shujaa mtetezi wa rasilimali za watanzania asiyeogopa na anayeweza kujenga hoja. Kwa ujumla watanzania wapo macho hivi leo.
Kila kona za wavuta bangi? 🙄
 
https___bucketeer-e05bbc84-baa3-437e-9518-adb32be77984.s3.amazonaws.com_public_images_5b8d11d...jpeg
 
Ngoja halmashauri kuu wakutane Jumamosi ndio tutajua kama ni shujaa au boigoi!
Mjomba! Ww pia unapingana na polepole na kuungana na kina nape na bulembo wanafik wakubwa wale! Daaa! Kwel ww c sauti ya mtu aliae chooni sio nyikani kabisaa
 
Wafahamu zamani mtu bosi wa shirika la umma akifukuzwa kazi na ikitangazwa redioni ni lazima watasema "amefukuzwa kwa manufaa ya umma".

Yaani yule mtu akiendelea kuwepo pale basi taasisi, shirika au kampuni hiyo itaanguka maana ameitumia vibaya kiofisi, matumizi mabaya ya fedha na kutojali au "carelessness".

Hivyo hili neno kwa manufaa ya umma ni neno muhimu sana kwa kizazi cha sasa kufunzwa.

Kisha kuna neno Kwa Maslahi ya Taifa au "national Interests".

Hili neno Kwa Maslahi ya Taifa bado wengi wanalipuuzia kwa makusudi yaani "ignorance" na waendekeza uhuni ambao ndo auzungumzia bwana Polepole.

Kizazi cha sasa chapaswa kujifunza kwa moyo wote maneno haya mawili Maslahi ya Taifa na Kwa manufaa ya Taifa.

Kitu chochote kinohusiana na maneno haya mawili kinawahusu wananchi wa taifa husika na si kikundi fulani.

Leo hii Iran akitishiwa au Korea Kaskazini akitishiwa a nchi za magharibi, wao husema sisi tutalipua sehemu zote tunazofahamu ninyi mna maslahi yaweza kuwa ndani au nje ya nchi hizo.

Na wakisema hivyo nchi za magharibi hukaa kimya na maisha yaendelea.

Sasa hoja zozote zinazohusu maslahi ya taifa, Nishati, madini, miundombinu, mifumo ya afya, Chakula, kilimo ni sehemu ya maslahi ya taifa.

Yaani wananchi wa Tanzania wanastahiki kufahamu mtakabali wa maslahi ya taifa lao.

Wakijitokeza watu kuzungumzia masuala hayo wasibezwe waachwe na hio ndo demokrasia.

Bwana Polepole hayupo peke yake kuna kundi kubwa sana nyuma yake ambalo bado lina dukuduku la moyoni.

Ipo siku si mbali dukuduku hilo litatolewa.
 
Kila kona Tanzania watu wamewadharau na kuwaona ni wapuuzi na washamba kabisa. Kuvamia na kuvurumua gheto la mzalendo mtetezi wa taifa lenu?

Mmeshinda kutwa nzima mitandaoni wanasiasa wa upinzani na wahuni wa Ccm waliozoea kupiga madili. Mkipotosha juu ya Ky Jelly. Upuuzi mkubwa.

Leo hii kila kona ya Tanzania Polepole anaonekana ni shujaa mtetezi wa rasilimali za watanzania asiyeogopa na anayeweza kujenga hoja. Kwa ujumla watanzania wapo macho hivi leo.
Ila Polepole amekomaa kiakili,ana uwezo kuliko Nape tuseme ukweli. Nape mwili mkubwa ila utoto mwingi sana.
 
Wafahamu zamani mtu bosi wa shirika la umma akifukuzwa kazi na ikitangazwa redioni ni lazima watasema "amefukuzwa kwa manufaa ya umma".

Yaani yule mtu akiendelea kuwepo pale basi taasisi, shirika au kampuni hiyo itaanguka maana ameitumia vibaya kiofisi, matumizi mabaya ya fedha na kutojali au "carelessness".

Hivyo hili neno kwa manufaa ya umma ni neno muhimu sana kwa kizazi cha sasa kufunzwa.

Kisha kuna neno Kwa Maslahi ya Taifa au "national Interests".

Hili neno Kwa Maslahi ya Taifa bado wengi wanalipuuzia kwa makusudi yaani ignorance na waendekeza uhuni ambao ndo auzungumzia bwana Polepole.

Kizazi cha sasa chapaswa kujifunza kwa moyo wote maneo haya mawili Maslahi ya Taifa na Kwa manufaa ya Taifa.

Kitu chochote kinohusiana na maneno haya mawili kinawahusu wananchi wa taifa husika na si kikundi fulani.

Leo hii Iran akitishiwa au Korea Kaskazini akitishiwa a nchi za magharibi, wao husema sisi tutalipua sehemu zote tunazofahamu ninyi mna maslahi yaweza kuwa ndai au nje ya nchi hizo.

Na wakisema hivyo nchi za magharibi hukaa kimya na maisha yaendelea.

Sasa hoja zozote zinazohusu maslahi ya taifa, Nishati, madini, miundombinu, mifumo ya afya, Chakula, kilimo ni sehemu ya maslahi ya taifa.

Yaani wananchi wa Tanzania wanastahiki kufahamu mtakabali wa maslahi ya taifa lao.

Wakijitokeza watu kuzungumzia masuala hayo wasibezwe waachwe na hio ndo demokrasia.

Bwana Polepole hayupo peke yake kuna kundi kubwa sana nyuma yake ambalo bado lina dukuduku la moyoni.

Ipo siku si mbali dukuduku hilo litatolewa.

Kuna wana upuuzi mwingi sana.

Yaani hawajui au hawajali maslahi ya Taifa. Ukabila, chuki binafsi, maslahi binafsi unawasumbua.
 
Tatizo kwa sasa ni namna ya kupata "compromize" ili kuendeleza yalokuwa tayari kwenye pipeline.

Ila dah! hawa jamaa kweli kuna wakati wajiuliza hawa ni watanzania wenzetu kweli hawa, wahuni.
 
Kila kona Tanzania watu wamewadharau na kuwaona ni wapuuzi na washamba kabisa. Kuvamia na kuvurumua gheto la mzalendo mtetezi wa taifa lenu?

Mmeshinda kutwa nzima mitandaoni wanasiasa wa upinzani na wahuni wa Ccm waliozoea kupiga madili. Mkipotosha juu ya Ky Jelly. Upuuzi mkubwa.

Leo hii kila kona ya Tanzania Polepole anaonekana ni shujaa mtetezi wa rasilimali za watanzania asiyeogopa na anayeweza kujenga hoja. Kwa ujumla watanzania wapo macho hivi leo.

Pole pole huyu huyu?

Wacha maskhara mjomba.
 
Polepole bin kiroboto
 
Unafikiri kamati kuu ya ccm ina watu wajinga kama bulembo. Wanamuelewa vizuri polepole na wala kwenye agenda yao huenda hata issue ya polepole isiwepo.
Anachosema polepole ndicho ambacho ccm kwa msimamo wa itikadi yake ya ujamaa na kujitegemea na sera zake wanatakiwa kufanya.
Kuna wachumia tumbo, nyumbu wafuata malisho, na kasuku wa kukariri na kuimba mistari ya kusifia ndio wanaharibu ccm.
Well said! Polepole sio mjinga!, Kama Mangula anapenda wanayofanya sasa hivi?
 
Back
Top Bottom