Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
Wapuuzi ndivyo walivyoKiroboto
Huwezi kuelewaNgoja halmashauri kuu wakutane Jumamosi ndio tutajua kama ni shujaa au boigoi!
Upuuzi mtupuKile kitanda cha kiroboto kuna style hapigi pale.
Kiroboto ameanza kulegezwa magoti taratibu na machinjioni ni kwenye kikao cha halmashauri kuu jumamosi hapo umatagani kwenu.Upuuzi mtupu
Unakunywa komoni utakuwa na maono?Hivi inahitajika mtu unywe pombe gani ili uweze kuandika haya? Hivi mbona mi nakunywaga sometimes pombe ila siwezi hata kufikiria uharo wa namna hivi?
https://www.facebook.com/..Hoja zake kweli zinahitaji kujadiliwa, lakini suala la uzalendo hapana, sio mzalendo bali ni mtu ambaye amepokwa maslahi anatafuta pakutokea..
Jamaa amekunywa pombe flani hivi inaitwa 'Samtata' , Hii pombe inatengenezwa kwa mayai viza, ukinywa hiyo unakua unajamba mapovu kama umemeza sabuni ya unga.Hivi inahitajika mtu unywe pombe gani ili uweze kuandika haya? Hivi mbona mi nakunywaga sometimes pombe ila siwezi hata kufikiria uharo wa namna hivi?