Waliomfanyia hujuma Polepole wamedharaulika na kupuuzwa na watanzania. Polepole sasa ni shujaa mzalendo anayetetea maslahi ya Tanzania.

Daah! huyu jamaa na Siasa zake za kishamba sana kila nikimuona huwa nakumbuka ile Awamu ya mauaji visasi ukabila uzulumaji uporaji wa fedha za Watanzania kupotezwa kwa watu wenye mawazo tofauti kutukaniwa mashangazi na maisha ya hofu kubwa.
Acha kukariri mambo ya kusikia kisa tu una chuki na Polepole.
 
Kale kashule kake fake ka uongozi akitaka ale vizuri akageuze kawe kashule ka kuiba kura za wapinzani, atakuwa shujaa wa kweli na kau DC atapewa
 
Pole pole amekuwa shujaa! Mtu aliyewahi kupingana na kile alichokipigania (KATIBA MPYA) kwa sababu ya Tonge tu. Leo maslai yake yameguswa anarudia matapishi yake!
Hapana polepole sio shujaa ni mnafki.
 
Polepole looks like a nice guy lakini ujinga na akili ya CCM unamrudisha nyuma, nguvu ni watu sio chama wala cheo
 
Ameanza lini ushujaa na kuwatetea watanzania?.
itakuwa ulizaliwa baada ya magufuli kufariki.
Mnasahau mapema sana
 
Tatizo kile chama chetu kikubwa haina uwezo kabisa kujibu hoja ya msingi mtu yeyote anayetoa maoni yake wakiona wanaguswa wanakutafutia wahuni rejea yaliyompata Tundu Lisu,Abdul Nondo,Freeman Mbowe na wengine wengi.
Na huyo pole pole si alikuwa ndani humo?
Umeshasahau?
 
..Hoja zake kweli zinahitaji kujadiliwa, lakini suala la uzalendo hapana, sio mzalendo bali ni mtu ambaye amepokwa maslahi anatafuta pakutokea..
wampuuze tu.huyo mfa maji.
ISHI NA WATU VIZURI SPONSA UFARIKI
 
Sasa mbona wenzenu wakati walipokuwa wakiongelea maslahi ya Taifa mliwauwa na wengine kina Lisu ni Mungu tu ndio alikataa wasife ili kuwaonesha Mungu ndio mkubwa kuliko wahuni wa Chato?
 
Anatafutwa na Nape Nnauye
 
Leo hii kila kona ya Tanzania Polepole anaonekana ni shujaa mtetezi wa rasilimali za watanzania asiyeogopa na anayeweza kujenga hoja. Kwa ujumla watanzania wapo macho hivi leo[emoji23]

Nikikumbuka ya Musiba wakati ule mpaka akajibatiza jina la mzalendo namba moja nabaki tu kucheka
 
Wewe umeshawahi kuifanyia nini Tanzania, kushauri kitu chochote cha maana?

Makosa, kauli za hovyo wote wamesema hata SSH, Alisema wale hawakuwa polisi wetu sababu walitumia zaidi ya risasi ya tatu kwa Lissu.
Hana lolote zaidi ya kujifanya mjuaji
 
Uwezo wa Le mutuz kuona KY unatia shaka na hivi hajaoa
 
Labda kona za getoni mwako maana huku nilipo kila mtu amemdharau polepole na SUKUMA GANGS
 
πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜
 
Unaijuwa vieitiiii wewe unaijuwa?? sasa sisi ndio tunatembelea vietiiiiiii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…