Waliomfanyia hujuma Polepole wamedharaulika na kupuuzwa na watanzania. Polepole sasa ni shujaa mzalendo anayetetea maslahi ya Tanzania.

Ghetto la Polepole? Basi angalau ufanye huo uongo ufanane na kweli. Huu bado
 
Ndugu Pole pole kaza buti, jifunge mkanda mpaka kieleweke hakuna kukata tamaa.
Mimi binafsi nitakuwa Bega kwa Bega na wewe.
Viongozi wetu wakidhi na wafanyie kazi matarajio ya wananchi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kona ipi mbona siwaoni huku namtumbo
 
hivi akivuliwa uanachama atavuliwa uanachama na ubunge kwishiney au atakuwa kama wale COVID 19?
 
Nina wasiwasi huyu mwandishi ndo polepole mwenyewe Yuko nyuma ya keyboard. Huyo aliyafanya machafu mengi Sana asitusumbue et kisa yeye kaibiwa tu TV Ni ushenzii.
 

We unaongelea nini hasa
Ile KY getoni kwako ilikuwa ya kazi gani?
 
Kumbukeni CCM kabla ya Magufuli ulikuwa ukivaa nguo za CCM unazomewa na sasa inajirudia mnajidanganya wananchi wamekuwa waerevu sasa wanajua mbivu na mbichi subirini 2025 mtaona
 
Polepole ni mnafiki, mbinafsi,mwongo na mchumia tumbo tu.

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Sukuma gang mnayumba sana. Ngoja wenye chama chao wamalize kikao ndio mtajua mbivu na mbichi. Pili hakuna sehemu polepole anatetea watu zaidi ya tumbo lake na kikundi chake cha wahuni.
 
Tatizo kile chama chetu kikubwa haina uwezo kabisa kujibu hoja ya msingi mtu yeyote anayetoa maoni yake wakiona wanaguswa wanakutafutia wahuni rejea yaliyompata Tundu Lisu,Abdul Nondo,Freeman Mbowe na wengine wengi.
Akiwa mwenezi alikijengea chama uhuni wa kujibu hoja kwa risasi. Sasa ni zamu yake 😂😂😂😂
 
hivi unafanyaje kuuvuta uzi kama huu wakati imeshapita miezi kama minne hivi. nataka nije kuchangia huu uzi ikishapita miezi minne hivi. mwenye ujuzi tusaidiane
 
Chawa🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…