Mwishokambi
JF-Expert Member
- Nov 23, 2020
- 390
- 1,425
Mlitumia nguvu kudai kuwa kiungo mahiri nchini Feisal Salum amekiuka masharti ya mkataba kwa kuamua kuvunja mkataba wake na sasa mmemuandikia barua mkimtaka arudi kambini ingawa yeye hana tena amani na furaha kuchezea timu yenu.
Nyie sio wa kwanza kutokewa na mambo hayo, Simba ilikuwa na mtu anaitwa Method Mogella Fundi kwa sasa marehemu, fundi huyo wa mpira alichezea Simba lkn baadae moyo wake uliipenda Yanga, akina Azim Dewji walihangaika kumshawishi wakashindwa, akaenda zake Yanga.
Sasa pamoja na kuwa wanasheria wa Feitoto hawajakubali maamuzi hayo, mjda c mrefu main sponsor wa Yanga Sportpesa kapost tangazo accusing Yanga kuwa wamekiuka mkataba.
Very funny, mnalalamika kuwa feitoto kavunja mkataba halafu na nyie mnakiuka na kuvunja mkataba.Very, very unprofessional
Sent from my SM-F916B using JamiiForums mobile app