Waliomng'ang'ania Feisal kwa kutoheshimu mkataba ndio hao hao wamevunja masharti ya mkataba na Sportpesa, Mungu analipa hapa hapa duniani

Mwishokambi

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2020
Posts
390
Reaction score
1,425
Mlitumia nguvu kudai kuwa kiungo mahiri nchini Feisal Salum amekiuka masharti ya mkataba kwa kuamua kuvunja mkataba wake na sasa mmemuandikia barua mkimtaka arudi kambini ingawa yeye hana tena amani na furaha kuchezea timu yenu.

Nyie sio wa kwanza kutokewa na mambo hayo, Simba ilikuwa na mtu anaitwa Method Mogella Fundi kwa sasa marehemu, fundi huyo wa mpira alichezea Simba lkn baadae moyo wake uliipenda Yanga, akina Azim Dewji walihangaika kumshawishi wakashindwa, akaenda zake Yanga.

Sasa pamoja na kuwa wanasheria wa Feitoto hawajakubali maamuzi hayo, mjda c mrefu main sponsor wa Yanga Sportpesa kapost tangazo accusing Yanga kuwa wamekiuka mkataba.

Very funny, mnalalamika kuwa feitoto kavunja mkataba halafu na nyie mnakiuka na kuvunja mkataba.Very, very unprofessional

Sent from my SM-F916B using JamiiForums mobile app
 
Sawa bi mkubwa umeeleweka
 
Kwanza sport pesa hajatoa accusations kama ulivoandika bali katoa malalamiko..

Pili hakuna kifungu au kipengele chochote cha mkataba kilichotolewa na Sportpesa au wachambuzi kikionyesha Yanga amekikiuka
Ushabiki unamaliza akili za vijana. Hawataki kutumia akili kazi yao ni mihemko tu hata kama hajawahi uona huo mkataba unafananaje.
 
Mlitumia nguvu kudai kuwa kiungo mahiri nchini Feisal Salum amekiuka masharti ya mkataba kwa kuamua kuvunja mkataba wake na sasa mmemuandikia barua mkimtaka arudi kambini ingawa yeye hana tena amani na furaha kuchezea timu yenu.

Nyie sio wa kwanza kutokewa na mambo hayo, Simba ilikuwa na mtu anaitwa Method Mogella Fundi kwa sasa marehemu, fundi huyo wa mpira alichezea Simba lkn baadae moyo wake uliipenda Yanga, akina Azim Dewji walihangaika kumshawishi wakashindwa, akaenda zake Yanga.

Sasa pamoja na kuwa wanasheria wa Feitoto hawajakubali maamuzi hayo, mjda c mrefu main sponsor wa Yanga Sportpesa kapost tangazo accusing Yanga kuwa wamekiuka mkataba.

Very funny, mnalalamika kuwa feitoto kavunja mkataba halafu na nyie mnakiuka na kuvunja mkataba.Very, very unprofessional

Sent from my SM-F916B using JamiiForums mobile app
Jipe muda, tafuta data sahihi then njoo useme
 
Mimi kuna jambo ningependa kufahamishwa. Wakati tunatangaziwa kuhusu mkataba wa Yanga na sportpesa, tulijulishwa kuwa kuna kipengele cha bonus. Na ikawekwa bayana kuwa Yanga ikifanya vizuri kwenye NBC anapata bonus ya sh ngapi na akifanya vizuri kwenye Azam Federation cup anachukua bonus ya kiasi gani. Asa kama sportpesa inaimiliki Yanga hadi kwenye michuano ya kimataifa kwanini hawakusema ni kiasi gani Yanga watapata endapo watafanya vizuri kwenye michuano ya kimataifa?
 
Kwa hiyo huyo Fei Toto ndiyo amekutuma uje kutufokea, au? Mbona hueleweki?
 
Mimi kuna jambo ningependa kufahamishwa. Wakati tunatangaziwa kuhusu mkataba wa Yanga na sportpesa, tulijulishwa kuwa kuna kipengele cha bonus. Na ikawekwa bayana kuwa Yanga ikifanya vizuri kwenye NBC anapata bonus ya sh ngapi na akifanya vizuri kwenye Azam Federation cup anachukua bonus ya kiasi gani. Asa kama sportpesa inaimiliki Yanga hadi kwenye michuano ya kimataifa kwanini hawakusema ni kiasi gani Yanga watapata endapo watafanya vizuri kwenye michuano ya kimataifa?
umeziona jez za kimataifa ni kama sion lolote lililoandikwa kuhusu sportpesa
 
Ungeweka mkataba wao kwanza ili tujue kama umevunjwa.
yanga wahuni sana 😂😂😂😂😂 ila kwa kuwa hawajawai shsinda shauri lolote nimekaa pale naona dalili za bakuli zinainyemelea tena, njaa kali na tamaa zimewajaa awa jamaa upigaji mwingi na auhuni uhuni. Una mume na still wataka mume mwingine 😂😂😂😂 au ndio kujizima data ila inaonekana uyu kiongozi wao anapenda sana ela hana analoliwaza kuhusu maslahi ya mbeleni kabisa
 
main sponsor wa Yanga Sportpesa kapost tangazo accusing Yanga kuwa wamekiuka mkataba
yanga wamekiuka vifungu au masharti gani ya mkataba?, Je umeweza kujua upande wapili wa yanga wanasemaje kuhusu izo shutuma?, kwanini spotihela wametoa taarifa/tangazo kwenye social media badala ya kuwaandika yanga barua rasmi kuhusu ayo malalamiko?
 
uma lazima utambue kwan kaz za media ni nn mzee mbona mnatoka mapovu
 
Mlitumia nguvu kudai kuwa kiungo mahiri nchini Feisal Salum amekiuka masharti ya mkataba kwa kuamua kuvunja mkataba wake na sasa mmemuandikia barua mkimtaka arudi kambini ingawa yeye hana tena amani na furaha kuchezea timu yenu.

Nyie sio wa kwanza kutokewa na mambo hayo, Simba ilikuwa na mtu anaitwa Method Mogella Fundi kwa sasa marehemu, fundi huyo wa mpira alichezea Simba lkn baadae moyo wake uliipenda Yanga, akina Azim Dewji walihangaika kumshawishi wakashindwa, akaenda zake Yanga.

Sasa pamoja na kuwa wanasheria wa Feitoto hawajakubali maamuzi hayo, mjda c mrefu main sponsor wa Yanga Sportpesa kapost tangazo accusing Yanga kuwa wamekiuka mkataba.

Very funny, mnalalamika kuwa feitoto kavunja mkataba halafu na nyie mnakiuka na kuvunja mkataba.Very, very unprofessional

Sent from my SM-F916B using JamiiForums mobile app
hakuna mkataba wa sportspesa uliovunjwa,sports pesa wameidhamini yanga mashindano ya ndani tu sio ya nje
 
Mletq mada bado ni mtoto Sana kwenye propaganda, Yanga siyo wajinga kuingia mkataba na Haier eti wasimjulishe main sponsor, hapo Kwa kutumia akili kubwa ni kwamba Haier anapigiwa promo zaidi ili afahamike Zaid kupitia hiyo propaganda..
 
Mlitumia nguvu kudai kuwa kiungo mahiri nchini Feisal Salum amekiuka masharti ya mkataba kwa kuamua kuvunja mkataba wake na sasa mmemuandikia barua mkimtaka arudi kambini ingawa yeye hana tena amani na furaha kuchezea timu yenu.

Nyie sio wa kwanza kutokewa na mambo hayo, Simba ilikuwa na mtu anaitwa Method Mogella Fundi kwa sasa marehemu, fundi huyo wa mpira alichezea Simba lkn baadae moyo wake uliipenda Yanga, akina Azim Dewji walihangaika kumshawishi wakashindwa, akaenda zake Yanga.

Sasa pamoja na kuwa wanasheria wa Feitoto hawajakubali maamuzi hayo, mjda c mrefu main sponsor wa Yanga Sportpesa kapost tangazo accusing Yanga kuwa wamekiuka mkataba.

Very funny, mnalalamika kuwa feitoto kavunja mkataba halafu na nyie mnakiuka na kuvunja mkataba.Very, very unprofessional

Sent from my SM-F916B using JamiiForums mobile app
Wivu wa mke mkubwa
 
Back
Top Bottom