Waliomng'ang'ania Feisal kwa kutoheshimu mkataba ndio hao hao wamevunja masharti ya mkataba na Sportpesa, Mungu analipa hapa hapa duniani

Waliomng'ang'ania Feisal kwa kutoheshimu mkataba ndio hao hao wamevunja masharti ya mkataba na Sportpesa, Mungu analipa hapa hapa duniani

Mimi kuna jambo ningependa kufahamishwa. Wakati tunatangaziwa kuhusu mkataba wa Yanga na sportpesa, tulijulishwa kuwa kuna kipengele cha bonus. Na ikawekwa bayana kuwa Yanga ikifanya vizuri kwenye NBC anapata bonus ya sh ngapi na akifanya vizuri kwenye Azam Federation cup anachukua bonus ya kiasi gani. Asa kama sportpesa inaimiliki Yanga hadi kwenye michuano ya kimataifa kwanini hawakusema ni kiasi gani Yanga watapata endapo watafanya vizuri kwenye michuano ya kimataifa?
Bonasi sio razima na ndio maana ikaitwa bonasi ni hiyari ya mdhamini anaweza akatoa au asitoe.
 
Bonasi sio razima na ndio maana ikaitwa bonasi ni hiyari ya mdhamini anaweza akatoa au asitoe.
Bonus ni lazima ila ukitimiza matakwa ya bonus kimkataba, kama haikusemwa kwenye mkataba basi haipo na haiulizwi.
 
umeziona jez za kimataifa ni kama sion lolote lililoandikwa kuhusu sportpesa
Mdhamini wa CAF ni 1x bet, hakuna timu inayoshiriki michuano inayoandaliwa na caf ambao wanaruhusiwa kuvaa tangazo la Kampuni shindani na 1X bet mfano Hawa sportipesa, mbet na wengineo
 
Kwanza sport pesa hajatoa accusations kama ulivoandika bali katoa malalamiko..

Pili hakuna kifungu au kipengele chochote cha mkataba kilichotolewa na Sportpesa au wachambuzi kikionyesha Yanga amekikiuka
Kwa hiyo malalamiko ni nini? Au mtu akikuambia "Unalalamikiwa" unadhani anamaanisha nini?
 
Ifike wakati uache ushabiki wa kijinga. Najua akili unayo ila una ushabiki wa kijinga
 
Kwanza sport pesa hajatoa accusations kama ulivoandika bali katoa malalamiko..

Pili hakuna kifungu au kipengele chochote cha mkataba kilichotolewa na Sportpesa au wachambuzi kikionyesha Yanga amekikiuka
Kilaza to the fullest
 
Kwa hiyo malalamiko ni nini? Au mtu akikuambia "Unalalamikiwa" unadhani anamaanisha nini?
Kwahiyi hujui tofauti ya tuhuma na malalamiko au unataka tu kubishana hapa?
 
NANI KAUONA MKATABA WOTE WA FEI??

NANI KAONA MKATABA WOTE WA YANGA NA SPORTPESA??

Bladfaken
 
Back
Top Bottom