Moha Mfinanga
Member
- Jan 1, 2019
- 61
- 26
kwani spotihela wameingia mkataba na yanga au mediam
Kwa nn kuna media sasa, Hili haliwaachi salama 😂😂😂😂kwani spotihela wameingia mkataba na yanga au media
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwani spotihela wameingia mkataba na yanga au mediam
Kwa nn kuna media sasa, Hili haliwaachi salama 😂😂😂😂kwani spotihela wameingia mkataba na yanga au media
Umeandika nini? Mbona sikielewi ulichoandika?umeziona jez za kimataifa ni kama sion lolote lililoandikwa kuhusu sportpesa
Bonasi sio razima na ndio maana ikaitwa bonasi ni hiyari ya mdhamini anaweza akatoa au asitoe.Mimi kuna jambo ningependa kufahamishwa. Wakati tunatangaziwa kuhusu mkataba wa Yanga na sportpesa, tulijulishwa kuwa kuna kipengele cha bonus. Na ikawekwa bayana kuwa Yanga ikifanya vizuri kwenye NBC anapata bonus ya sh ngapi na akifanya vizuri kwenye Azam Federation cup anachukua bonus ya kiasi gani. Asa kama sportpesa inaimiliki Yanga hadi kwenye michuano ya kimataifa kwanini hawakusema ni kiasi gani Yanga watapata endapo watafanya vizuri kwenye michuano ya kimataifa?
Bonus ni lazima ila ukitimiza matakwa ya bonus kimkataba, kama haikusemwa kwenye mkataba basi haipo na haiulizwi.Bonasi sio razima na ndio maana ikaitwa bonasi ni hiyari ya mdhamini anaweza akatoa au asitoe.
Mdhamini wa CAF ni 1x bet, hakuna timu inayoshiriki michuano inayoandaliwa na caf ambao wanaruhusiwa kuvaa tangazo la Kampuni shindani na 1X bet mfano Hawa sportipesa, mbet na wengineoumeziona jez za kimataifa ni kama sion lolote lililoandikwa kuhusu sportpesa
Kwa hiyo malalamiko ni nini? Au mtu akikuambia "Unalalamikiwa" unadhani anamaanisha nini?Kwanza sport pesa hajatoa accusations kama ulivoandika bali katoa malalamiko..
Pili hakuna kifungu au kipengele chochote cha mkataba kilichotolewa na Sportpesa au wachambuzi kikionyesha Yanga amekikiuka
Ifike wakati uache ushabiki wa kijinga. Najua akili unayo ila una ushabiki wa kijingaKwanza sport pesa hajatoa accusations kama ulivoandika bali katoa malalamiko..
Pili hakuna kifungu au kipengele chochote cha mkataba kilichotolewa na Sportpesa au wachambuzi kikionyesha Yanga amekikiuka
Kilaza to the fullestKwanza sport pesa hajatoa accusations kama ulivoandika bali katoa malalamiko..
Pili hakuna kifungu au kipengele chochote cha mkataba kilichotolewa na Sportpesa au wachambuzi kikionyesha Yanga amekikiuka
Wewe ndo una ushabiki wa kijinga kila mda kuanzisha nyuzi zinazobumaIfike wakati uache ushabiki wa kijinga. Najua akili unayo ila una ushabiki wa kijinga
Tofauti ya tuhuma na malalamiko inajulikana sasa hapa naona unaleta ubishi wa kijinga tuKilaza to the fullest
Kwahiyi hujui tofauti ya tuhuma na malalamiko au unataka tu kubishana hapa?Kwa hiyo malalamiko ni nini? Au mtu akikuambia "Unalalamikiwa" unadhani anamaanisha nini?