Maswali ya kijinga sijibu.Una takwimu za Tanzania?
Mbona umeanza hasira?Maswali ya kijinga sijibu.
Wewe huna ufahamu wa mambo haya, na ndiyo sababu ulilmpiga mawe Gwajima. Ujinga huo huo, ndio umekufikisha hapa. Kwa msaada, tu kaa kimya. Acha wanasayansi waje wajadili. Wewe subiri utangaziwe cha kufanya na wanasiasa.Wewe ulichanja? Kama ulichanja beba karatasi yako ya chanjo na damu yako iliyoganda kama ushahidi nenda mahakamani kadai hiyo fidia na kama hukuchanja unaumia nini sasa, waache waliochanja wasikitike wewe si mjanja hukuchanjwa kaa kimya tu
Eti this Is serious, serious kwako au?
Kwanza nianze kusema tu kwamba the internet is flooded with lots of madness,so remember to choose wisely where to get informationChanjo yaanza kubadilisha utu wa binadamu.
Ni kipindi cha ukweli na uwazi. Msiwafanye Watanzania mazezeta ama kwa makusudi, ama kwa kkutokujua kwenu, ama kwa vyoyote vile.
Kama mnavyotoa takwimu za wachanjwaji, mnaweza kutoa takwimu za kweli za wahanga wanaoganda damu na madhara mengine?
Mlimbishia Gwajima mkampiga mawe, leo hii mnasemaje, pale wataalamu wanaposema sasa chanjo imeanza kuingilia ubinadamu wa wahanga?
This is serious. Naomba mjadili hapa kwa kumheshimu Mungu muumbaji, na siyo kulinda vyeo ama kufisha aibu kwa sababu, liko kubwa linakuja ambalo kabla haliljafika, unaweza kuona wewe bingwa na mjanja.
Una takwimu za Tanzania
Hivi unadhani madhara ya chanjo Yana mipaka ya kijofrafia?
Hana hizo no blah blah anaokota clip ZA you tube anaziaminUna takwimu za Tanzania?
Una takwimu za Tanzania?
Kwahiyo hayo madhara ya chanjo ndio hayo aliyoweka Hapo kwenye kivideo Cha YouTube?Anachozungumza mleta mada ni kwamba, sawa watu walikuwa wanafanya jitihada ya kuwaokoa watu dhidi ya janga la corona, lakini nyuma ya pazia walikusudia kutimiza lengo lao walilokusudia. Lakini wadadisi waliolibaini hilo mapema walipotoa angalizo kuhusu madhara ya hizo vaccine na mpango wa nyuma ya pazia wa hao waleta chanjo, WALISHAMBULIWA NA KUONEKANA MAADUI.
Toka machi mwaka jana hadi machi mwaka huu watu 800 wamekufa kwa Corona.Una takwimu za Tanzania?
Wewe utakuwa ulichanja kwa ukali huu si bure. Mungu akusaidie ndugu. Serikali ilishajitoa endapo aliyejanjwa akipata madhara.Wewe ulichanja? Kama ulichanja beba karatasi yako ya chanjo na damu yako iliyoganda kama ushahidi nenda mahakamani kadai hiyo fidia na kama hukuchanja unaumia nini sasa, waache waliochanja wasikitike wewe si mjanja hukuchanjwa kaa kimya tu
Eti this Is serious, serious kwako au?
Amehamia Kibaigwa wilayani Kongwa!siku izi mbona amekuwa mpole sana haongelei tena ayo mamboo ya korona? ata jimboni mwake atumuonii
Tuache kwanza tuko busy na Ukraine tumekubaliana na virusi vya Corona kuwa havitasambaa mpaka tumalizane na hili na ndio maana hatuyaongelei sasaChanjo yaanza kubadilisha utu wa binadamu. Ni kipindi cha ukweli na uwazi. Msiwafanye Watanzania mazezeta ama kwa makusudi, ama kwa kutokujua kwenu, ama kwa vyoyote vile.
Kama mnavyotoa takwimu za wachanjwaji, mnaweza kutoa takwimu za kweli za wahanga wanaoganda damu na madhara mengine?
Mlimbishia Gwajima mkampiga mawe, leo hii mnasemaje, pale wataalamu wanaposema sasa chanjo imeanza kuingilia ubinadamu wa wahanga?
This is serious. Naomba mjadili hapa kwa kumheshimu Mungu muumbaji, na siyo kulinda vyeo ama kufisha aibu kwa sababu, liko kubwa linakuja ambalo kabla haliljafika, unaweza kuona wewe bingwa na mjanja.