Waliompiga picha na kuzisambaza binti anayehusishwa na chupa ya soda wanafaa kuchukuliwa hatua

Nifuatilie kisa kipi!!?? Nimemuona binti asiye na akili akichukua sim yake na kujirekodi akiingiza chupa njia ya haja kubwa, kuna kisa kingine zaidi ya hicho!!???
Kuna mtu alimdanganya atampa milioni 3.baada ya hapo aliporekodi akamtumia Yule jamaa.yule jamaa hakumpa hyo hela akawatumia hyo video marafiki zake huku bongo.wale marafiki zake wakamfuata huyo dada na kumwambia Wana video yake awape laki 6 wasivujishe akawapa alafu jamaa wanamuomba na MZIGO wakala na bado wakavujisha.
Hauoni Kama NI utapeli huo kafanyiwa?
 
Hapana sio utapeli. Yaani mkubaliane kuuziana bangi halafu ukidhulumiwa uende kuripoti polisi kwamba umedhulumiwa bangi???

Je angelipwa hiyo milioni tatu angelalamika au ungesema ni utapeli?

At the end of the day walikubaliana on illegal contract, huwezi kumtetea huyo ni Malaya tu. Yaani ujiingize chupa upewe milioni tatu na zikiisha utaingiza nini tena after all milioni tatu ni pesa ya simu tu.

Hicho ni kimalaya huu utetezi ni wa kitoto sana. Mshenzi tu huyo mtoto yaani urushe picha za uchi kwa milioni tatu?

Wasichana wote wanaohangaika kuuza hata dawa za forever living unadhani hawaoni hiyo option ya kuuza utupu wao??? It's about dignity.

Hakuna utetezi anaweza kuutoa kujustify ushenzi alioufanya yeye la msingi afocus kubadilika tabia na aache tamaa maana muda wote kapo na picha za kwenye magari ya watu tu, tamaa mbaya.

Anaringishia magari ya watu in exchange ya umalaya halafu mtu uje kumtetea??? No way.

NB: Huyu sio mtoto amevuka 18 yrs anajua anachokifanya mnatetea upumbavu ndio maana jamii inaharibika.

Aliyefanya ushenzi ni yeye kwanza hao wengine wanafuata baadae Ila yeye ndio was kwanza kulaumiwa.
 
Mbona hao waliomgonga na kumlia hela zake laki 6 .
HAUWASEMI?
hayo makubaliano yao wenyewe.
Nina chomuonea huruma Mimi kutapeliwa hela zake na kuliwa mzigo naona wamemtapeli na video wamezisambaza.
Sina tatizo na kitendo alichofanya maana ni makubaliano yao.
 
Bahati mbaya ni kwamba hii transaction nzima it was clouded with illegality lakini alikuwa na option ya kuwaripoti polisi maana hao ni stalkers na wamefamya ubakaji.

Kabla ya yote angewaripoti angekuwa kwenye usalam sababu kuhusu kupiga picha huwa sio kosa kama ni umejipiga for personal uses kibaya ni hiyo ya kupiga picha in exchange of money.

Sasa lazima tukubaliane kwamba mshaywa dhambi ni mauti, huyu msichana haya yote ameyataka yeye kwa tamaa zake maana kitendo Cha kukubali kufanya illegal transaction in exchange of money at the first place unaona kabisa huyu ni bingwa wa tamaa kubwa sana na yupo tayari kufanya anything for money.

Ndio maana nasema wa kwanza kulaumiwa ni yeye mwenyewe she is the author of her own story then hao wengine ndio wanafuata.
 

yeye hana kosa, na hawawezi kumfungulia mashitaka ya aina yoyote, hapo kituoni watamhoji kutaka kujua ilikuaje ikasambaa.

Narejea tena kujirekodi video sio kosa, Kosa ni kuisambaza.
 
Ndo maana Kuna sehemu nasema huyo dada asaidiwe ametapeliwa.
Kuna video moja niliwahi kuiona miaka Kama 3 hivi.
Mwanamke Ana kalia mguu wa kitanda kile kirungu.kama unavijua Vitanda vya kisasa.vina Kama marungu .
aliamua mwenyewe hakuna mtu wa kumlaumu.
Ila kwa kesi ya huyu binti kuliwa mzigo na kutapeliwa hela zake ndo Mimi namuonea huruma.
 
yeye hana kosa, na hawawezi kumfungulia mashitaka ya aina yoyote, hapo kituoni watamhoji kutaka kujua ilikua ikasambaa.

Narejea tena kujirekodi video sio kosa, Kosa ni kuisambaza.
Sheria ndio inamfunga hapo yaani unless uwe umepigwa na mtu ila kujirekodi ni kwamba umesababisha ivuje. Refer kesi ya Wema Sepetu na Amber Rutty
 
Acha kutetea ujinga, amejirekodi mwenyewe na alikuwa anahaha kuweka kamera vizuri kabisa
 
Mchumia majanga
 
Sheria ndio inamfunga hapo yaani unless uwe umepigwa na mtu ila kujirekodi ni kwamba umesababisha ivuje. Refer kesi ya Wema Sepetu na Amber RuttyView attachment 2062917
Kwa kupiga hiyo video she has caused phonography to be published. hiyo sheria ilishawahukumu kina Wema na Amber Rutty katika mtazamo huo huo kwamba walirekodi ila hawakusambaza lakini kwa kupiga kwao hizo videi wamesababisha kusambaa
 
Mimi kama mzazi nalaani hili tukio. Jamani tunaoshabikia haya leo siku tukija kuona picha za mabinti au vijana wetu tushabikie hivi hivi.
Badala ya kukaa na kulea watoto wako vizuri endelea kushinda ukiangalia series alafu wakikua wakubwa utatumiwa picha zao whatsapp.
 

Dah inasikitisha sana, Blackmailing kwa nchi za wenzetu unazeekea jela mkuu, Ila hapa bongo unaonekanwa mjanja
 

hii nchi ina watu washenzi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…