Waliompiga picha na kuzisambaza binti anayehusishwa na chupa ya soda wanafaa kuchukuliwa hatua

Waliompiga picha na kuzisambaza binti anayehusishwa na chupa ya soda wanafaa kuchukuliwa hatua

Huyu ni binti anahitaji huruma yetu
Amefanya kosa kubwa je sisi kama Jamii tumtupe?
Tumsamehe na Tumkaribishe Tena kwa upendo mkubwa kwenye Jamii Yetu then tumuonye kwa upendo
Tukitumia nguvu kubwa tutampoteza
Wazazi wake wapo katika kipindi gani?
Huruma gani anayohitaji? Chupa si kajiingizia mwenyewe!!??
 
Wabongo wana roho za kikatili na za kijinga mno.

Hakuna tatizo wal kosa yeye kujirokodi video, Tatizo lipo kwenye kusambaza. Bdala jamii kumlaani msambazaji jamii imekua bzy kumshutumu alierikodi. Kuna tatizo kubwa la ufahamu hapa nchini.
Kwani nani kasambaza!!?? Video kajirekodi mwenyewe, bilashaka msambazaji ni yeye mwenyewe pia.
 
Mimi nakuunga mkono hata kama utashambuliwa na watu wanaojiona watakatifu wakati kila siku wananunua Malaya pale Kimboka. Yule binti kama kajirekodi ni yeye, lakini kitendo cha Polisi kumwanika mitandaoni si cha kimaadili.
Hiyo picha ya kituoni ina tatizo gani!!??? Yuko uchi hapo!? Amepigwa!!?? Acheni kuharalisha haramu.
 
kwani PGO inasemaje kuhusu wanaojirekodi wakiwa bila nguo na kurusha maudhui hayo mtandaoni?

alipopewa dili la hela alitakiwa aombe ushauri kwa wengineee ... kibao kimegeuka ndo analaumuuu......

ila kiuhalisia hata mie ukinipa dili la hela simstui mtuuu hahaaaaa
Hiyo habari ya kupewa dili la hela ni kujaribu kuharalisha uovu, huyo binti hajarubuniwa na mtu wala hajapewa dili la hela no tabia yake tu, kuna videos zake kibao akijiingizia chupa tigoni so ni mchezo wake muda mrefu.
 
Katili ni aliyesambaza au aliyerekodi? Kujirekodi ndio kumesababisha yote haya ndio maana unaona kakamatwa aliyejirekodi kwa hiyari yake. Asingefanya hilo tendo wasambazaji wasingepata cha kusambaza. Mtuhumiwa namba 1 ni huyo binti.

Sijui unanielewa?
Kabisa, alijirekodi kwa simu yake so hapo msambazaji wa kwanza lazima ni yeye.
 
Ungeajua chanzo Cha kesi yake hata wewe ungemuonea huruma.
huyo katapeliwa.
Kajirekodi mwenyewe kwa raha zake, hajatapeliwa na mtu. Naona kuna nguvu kubwa inatumika kumsafisha ionekane alirubiniwa wakati si kweli, kuna videos zake kibao mtandaoni za tangu kitambo na inaonekana alikuwa anafanya michezo hiyo siku nyingi.
 
Badala ya kulaan Mwanamke mwenzenu kujiingizia lichupa na kujirekod kwa madaha mnakuja kumtetea Huku ujinga wanawake bhana na akili zao
 
Nalaani kitendo kilichofanywa na askari wa Jeshi la Polisi kumwita mtuhumiwa ofisini kwao nakumkalisha chini Kisha kumpiga picha nakuzisambaza. Hii siyo sahihi kabisa, sidhani kama watoto wao wanapotuhumiwa au watoto wa viongozi wanapokengeuka tunawafanyia hivi.

Lakini jambo la pili huyu mtoto ni mhanga wa ukatili unaofanywa na wanaume na watu wenye fedha, badala tutafute waliomrubuni tunakwenda kumdhalilisha na kumwaribia future yake. Hii siyo kazi ya Serikali. Mhanga wa matukio ya kialifu analindwa Duniani kote, udhalilishaji wa mtuhumiwa ni kinyume kabisa na Haki za binadamu.

Tulitegemea Jeshi liwe mfano wa kukemea picha zisizofaa wao ndio wanasambaza. Matokeo yake watoto wengi ambao wajapevuka kama alivyo mtuhumiwa wanaweza kutafuta umaarufu kwa kufanya matendo haya nakutegemea dola isambaze taarifa zao wafahamike Duniani.

Sijawahi kuona polisi Zanzibar wakipiga picha watu wanaotuhumiwa kuishi kinyume na maadili na kuzisambaza, aaskari bara mnafundishwa wapi ukatili na ya policing?Wapi nafasi ya dawati la jinsia?
Hivi anaakili kweli yaani afanye upuuuzi alafu watu wamuonee Huruma. Kwa umri huo anafahamu madhara ya kufanya video za ngono maana huyo alirecord mwenyewe kwa kujua. Ingekuwa pengine karecodiwa labda tungemuhurumia
 
Kajirekodi mwenyewe kwa raha zake, hajatapeliwa na mtu. Naona kuna nguvu kubwa inatumika kumsafisha ionekane alirubiniwa wakati si kweli, kuna videos zake kibao mtandaoni za tangu kitambo na inaonekana alikuwa anafanya michezo hiyo siku nyingi.
Fuatilia vizuri ujue kisa kilipoanzia
 
Back
Top Bottom