ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
We kichwa panzi kweli aliyesambaza sisi tunamjua?????Wabongo wana roho za kikatili na za kijinga mno.
Hakuna tatizo wal kosa yeye kujirokodi video, Tatizo lipo kwenye kusambaza. Bdala jamii kumlaani msambazaji jamii imekua bzy kumshutumu alierikodi. Kuna tatizo kubwa la ufahamu hapa nchini.