Nazi Ignition
JF-Expert Member
- Jun 3, 2020
- 1,740
- 4,859
Mwenye hiyo video naomba aniwekee pm ili nije kuchangia mada kwa mapana na marefu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona mdada mzuri kakutwa na kitu ganiHii picha ndio inakutoa povu humu,
Wkt mhusik anafurah kuw maaraf kw upuuz!!View attachment 2061655
Kwani tumemrekodi sie?Mimi kama mzazi nalaani hili tukio. Jamani tunaoshabikia haya leo siku tukija kuona picha za mabinti au vijana wetu tushabikie hivi hivi.
Hatukutuma Tena nimetoka kumrushia beka Manzese hapa anaenda ipigia puchu videoMimi kama mzazi nalaani hili tukio. Jamani tunaoshabikia haya leo siku tukija kuona picha za mabinti au vijana wetu tushabikie hivi hivi.
Hahahahahahahahah nakubali mwamba, hela yangu halafu anipangie jinsi ya kutumia? Kwani nili force? Si njaa zake na tamaa za maisha ya kifahari ndio zimemfanya ajirekodi? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Muwafundishe mabinti zenu kuacha tamaa za hela [emoji28] lasivyo tutawanyoosha kama hivyo yani!
Huu ni mwanzo tu!!!
Mimi naburuzwa!Hii picha ndio inakutoa povu humu,
Wkt mhusik anafurah kuw maaraf kw upuuz!!View attachment 2061655
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] oya mtafanya watu wajiue mjue[emoji23][emoji23][emoji23] hebu acheni utani nyie majamaa, pamoja na wewe kunguru wa manzese!!!!!!Hatukutuma Tena nimetoka kumrushia beka Manzese hapa anaenda ipigia puchu video
Nobody Is PerfectHii picha ndio inakutoa povu humu,
Wkt mhusik anafurah kuw maaraf kw upuuz!!View attachment 2061655
Senge hilo, halina hata haya, hivi huyu na Malawi wapi na wapi? Ungeweza ungelitukana tu, ndio hao wanachekea tabia za kikuda kama hizi.Kuna boya alisema sjui oooh, hawa ni wa vyuo vya ethiopia, Mara ooh malawi
Kweli wewe sio mtoto wa mjiniNaomba link ya konekisheni...nijionee nmechoka kuona vipicha nataka ile kideo yenyewe haswa.
#MaendeleoHayanaChama
Ukijua tu amejisokomeza lichupa inatoshaNaomba link ya konekisheni...nijionee nmechoka kuona vipicha nataka ile kideo yenyewe haswa.
#MaendeleoHayanaChama
Jeshi la polisi liwe mfano?! Wa nini unachodhani?!Nalaani kitendo kilichofanywa na askari wa Jeshi la Polisi kumwita mtuhumiwa ofisini kwao nakumkalisha chini Kisha kumpiga picha nakuzisambaza. Hii siyo sahihi kabisa, sidhani kama watoto wao wanapotuhumiwa au watoto wa viongozi wanapokengeuka tunawafanyia hivi.
Lakini jambo la pili huyu mtoto ni mhanga wa ukatili unaofanywa na wanaume na watu wenye fedha, badala tutafute waliomrubuni tunakwenda kumdhalilisha na kumwaribia future yake. Hii siyo kazi ya Serikali. Mhanga wa matukio ya kialifu analindwa Duniani kote, udhalilishaji wa mtuhumiwa ni kinyume kabisa na Haki za binadamu.
Tulitegemea Jeshi liwe mfano wa kukemea picha zisizofaa wao ndio wanasambaza. Matokeo yake watoto wengi ambao wajapevuka kama alivyo mtuhumiwa wanaweza kutafuta umaarufu kwa kufanya matendo haya nakutegemea dola isambaze taarifa zao wafahamike Duniani.
Sijawahi kuona polisi Zanzibar wakipiga picha watu wanaotuhumiwa kuishi kinyume na maadili na kuzisambaza, aaskari bara mnafundishwa wapi ukatili na ya policing?Wapi nafasi ya dawati la jinsia?