Waliompiga picha na kuzisambaza binti anayehusishwa na chupa ya soda wanafaa kuchukuliwa hatua

Waliompiga picha na kuzisambaza binti anayehusishwa na chupa ya soda wanafaa kuchukuliwa hatua

Nyie wanawake / Baadhi wapuuzi Sana.

Kwa mfano wewe, yaani hukulaani kitendo alichokifanya lakini unakuja kutoa shombo zako kwa mambo ya hovyo.

Kwahiyo ulitaka Polisi wamuheshimu wakati yeye mwenyewe hajiheshimu? Unaita dawati la jinsia for what? Yaani mtu ajirekodi mwenyewe then unataka asitiliwe? Halafu unataka kusema huyo hajapevuka? She's very ignoramus. Mjifunze na muwe na adabu, tunawatongoza huku mkitupa masharti kibao kumbe mnafumuliwa na Mirinda na fanta? What a shame ?

Acheni kutetea mambo ya ajabu. Laani ujinga alioufanya.
 
Mmeanza kumtetea ili aonekane hana hatia , kampeni hizi siziungi mkono. Vijana wengi maadili hawana na ujuaji ni mwingi.Sheria ichukue mkondo wake kama ili desturi yake.Sina shaka alikuwa na Nia ya kuisambaza kwani ni muda umefika ndo maana tumeiona.Wakati ndo hakimu wa kweli, alikusudia kwani pia anaonekana alijirekodi huku akiwa na furaha Tele
Ungeajua chanzo Cha kesi yake hata wewe ungemuonea huruma.
huyo katapeliwa.
 
Nonsense huu upumbavu ndo mnafanya wanazidi kufanya ujinga,ana utoto gani mtu wa chuo kikuu?? kipi hakijui mpaka anapata ujasiri wa kuingiza chupa unasema mtoto na kamera kashika mwenyewe we vipii.
Wafundisheni mabinti zenu kuacha tamaa ya pesa waridhike na maisha yao na wazazi wao sio huu ujinga ulioandika hapa.
 
Mimi kama mzazi nalaani hili tukio. Jamani tunaoshabikia haya leo siku tukija kuona picha za mabinti au vijana wetu tushabikie hivi hivi.
Si ndo yatakua maamuzi yake na maana yake wewe mzazi umefeli kumfundisha binti yako maadili.
 
Jana nilivyokuwa kioski Fulani kwa muda fulani kuna wateja walikuwa wanakifokee sana hichi kinywaji 'mirinda'...nikajua labda kimeongezwa machemical....kuingia YouTube sioni kitu zaidi ya madhara ya soda zote kiafa....badae ndo kuna jamaa akaniambia hii kasumba,duuuh niliduwaa tu kwakweli.

Ila kwa hali ya uku mtaani nahis mauzo ya mirinda yatashuka sana...
Sio mirinda sinywi soda yoyote ya chupa until further notice
 
Nyie wanawake / Baadhi wapuuzi Sana.

Kwa mfano wewe, yaani hukulaani kitendo alichokifanya lakini unakuja kutoa shombo zako kwa mambo ya hovyo.

Kwahiyo ulitaka Polisi wamuheshimu wakati yeye mwenyewe hajiheshimu? Unaita dawati la jinsia for what? Yaani mtu ajirekodi mwenyewe then unataka asitiliwe? Halafu unataka kusema huyo hajapevuka? She's very ignoramus. Mjifunze na muwe na adabu, tunawatongoza huku mkitupa masharti kibao kumbe mnafumuliwa na Mirinda na fanta? What a shame ?

Acheni kutetea mambo ya ajabu. Laani ujinga alioufanya.
Ana walaani polisi
Badala awalaani mhusika na aliyesambaza
Video zake

Ova
 
Nilitarajia atapigwa picha kashika kidhibiti...
Kumkamata mtuhumiwa bila ya kidhibiti chochote huku ni kukosa weledi.
Hapo mtuhumiwa alitakiwa apigwe picha huku ameshikilia kidhibiti chake mkononi.
Bila uwepo wa kidhibiti hii kesi ni nyepesi kwa kukosekana ushahidi wa kutosha kumtia mtuhumiwa hatiani.
Kwa walioiona video naomba mnijuze chupa ilikuwa imefunguliwa au ilikua na kizibo chake?
 
Kumbe ile picha kapigwa kituoni...nilidhani ni chuoni. Hawajafanya poa
Hiyo picha ina tatizo gani!!?? Video yake akijiingizia chupa kwenye ndumku unaweza ilinganisha na hiyo picha ya kawaida kituoni!!?? Watoto wa kike akili zao wanajua wenyewe walipoziacha.
 
Back
Top Bottom