Waliomsaliti Humphrey Polepole waanza kuonja joto ya jiwe

Etwege

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2018
Posts
8,105
Reaction score
20,307
Mara baada ya kutekwa balozi Humphrey Polepole na kuacha damu nyingi sana, mama yake alitembelea nyumba aliyotekwa Polepole na kuahidi kuwa kila aliyeshiriki kwa namna yoyote ile kupanga, kufanikisha na kumteka balozi Polepole lazima atapatwa na jambo kila mmoja kwa wakati wake.

MZEE JOSEPH BUTIKU- Inasemekana huyu ndiyo alitoa siri zote za Humphrey Polepole kwa watekaji lakini akawapa mashariti kwamba wasimuue.
Lakini sasa mzee Butiku amepigwa stroke hatari yupo kitandani anapambania uhai wake

1. TUNDU LISSU: Huyu alipaza sauti kubwa ya furaha na shangwe, akiwaaminisha uma kuwa Tanzania itakuwa salama zaidi bila Magufuli. Tundu Lisu aliahidi Tanzania itashitakiwa MIGA baada ya kudai haki zake za madini. Kilichompata ni kufungwa jela kwa miezi 11 hadi sasa na Tanzania hakushitakiwa MIGA.

2. GENERALI ULIMWENGU: Huyu alimchukia Magufuli tokea siku ya kwanza anaingia ofisini, sometimes ulimwengu ni miongoni mwa wachambuzi wenye mitizamo ya kiwendawazimu. Kilichompata ni biashara yake ya gazeti kufa kabisa na njaa kwake imeongezeka zaidi.

3. JOHN HECHE, Huyu ni mwanasiasa asiyefahamu nini anakihitaji, uropokaji na chuki ndiyo muhimili mkuu wa kufanya siasa, alijenga chuki kubwa kwa Dr John Pombe Magufuli na muda wote alikuwa anamuombea mabaya. John Heche alipinga ujenzi wa SGR, na uchimbaji wa bwawa la umeme la mwl nyerere akiita ni uharibifu wa mazingira na mradi huo hautafanikiwa. Kilichompata ni kushinda umakamu mwenyekiti wa Chadema lakini akafungiwa kufanya siasa yoyote ndani ya Chadema! Kwa kifupi John Heche wa kipindi cha Magufuli alikuwa huru zaidi kuliko huyu Heche wa kipindi cha Samia.

4. GODBLESS LEMA: kabla ya hapo aliwahi kuwa mvuta sigara kubwa na mwizi wa magari, kila wakati alikuwa anamtabiria kufa na hadi siku anaondoka MAGUFULI alikuwa anafanya sherehe. Kilichompata ni kuondolewa ubunge wa Arusha mjini, kuondolewa uenyekiti wa Chadema kanda ya Arusha, kutenganishwa na familia yake pamoja na biashara zake kufa zote.

5. FREEMAN MBOWE: Huyu alijirekodi video ya saa nzima akishangilia kifo cha Magufuli na hapohapo akataka chanjo ya Corona iwe ya lazima kwa watanzania wote. Kilichompata ni kufungwa miezi 8 jela na alipotoka akashindwa kwenye uchaguzi na kunyang'anywa chama alichoachiwa na mkwe wake cha Chadema. Mbowe wa sasa amepauka kama shati na akipita sehemu anazomewa kwa kuitwa Yuda Eskarioti.

6. JANUARY MAKAMBA: Huyu alikuwa bingwa wa kukejeli kila kitu kinachofanywa na Magufuli ikiwemo kuwasambazia wananchi umeme wa elfu 27. Kilichompata ni kufukuzwa uwaziri ,ubunge na kuwekwa ndani na sasa anaishi kama digidigi kwa aibu. Yani J Makamba wa kipindi cha Magufuli alikuwa huru zaidi kuliko huyu wa kipindi cha Rais Samia.

7. NAPE NNAUYE: Huyu nae alijitokeza hadharani kukejeli na kupinga ujenzi wa bwawa la umeme la mwl nyerere akiita ni uharibifu wa mazingira kukakosababisha kusinyaa kwa uchumi wa mikoa ya kusini. Kilichompata ni kufukuzwa uwaziri kwa aibu na sasa anaishi kwa aibu akijifichaficha.

8. JAKAYA KIKWETE: Huyu ametokea kuwa binadamu anayechukiwa zaidi Tanzania na octoba 29 wananchi waliendesha operesheni ya kuchoma moto mali za Jakaya Kikwete na washirika wake.

9. BENARD MEMBE: Huyu kilichompata alipomaliza kushangilia kifo na yeye katika mazingira tata yasiyoeleweka hadi leo alifariki dunia.
 
Mara baada ya kutekwa balozi Humphrey Polepole na kuacha damu nyingi sana, mama yake alitembelea nyumba aliyotekwa Polepole na kuahidi kuwa kila aliyeshiriki kwa namna yoyote ile kupanga, kufanikisha na kumteka balozi Polepole lazima atapatwa na jambo kila mmoja kwa wakati wake.
MZEE JOSEPH BUTIKU- Inasemekana huyu ndiyo alitoa siri zote za Humphrey Polepole kwa watekaji lakini akawapa mashariti kwamba wasimuue.
Lakini sasa mzee Butiku amepigwa stroke hatari yupo kitandani anapambania uhai wake

TUNDU LISU-Huyu alipaza sauti kubwa ya furaha na shangwe, akiwaaminisha uma kuwa Tanzania itakuwa salama zaidi bila Magufuli. Tundu Lisu aliahidi Tanzania itashitakiwa MIGA baada ya kudai haki zake za madini. Kilichompata ni kufungwa jela kwa miezi 11 hadi sasa na Tanzania hakushitakiwa MIGA.

2.GENERALI ULIMWENGU: Huyu alimchukia Magufuli tokea siku ya kwanza anaingia ofisini, sometimes ulimwengu ni miongoni mwa wachambuzi wenye mitizamo ya kiwendawazimu. Kilichompata ni biashara yake ya gazeti kufa kabisa na njaa kwake imeongezeka zaidi.

3.JOHN HECHE, Huyu ni mwanasiasa asiyefahamu nini anakihitaji, uropokaji na chuki ndiyo muhimili mkuu wa kufanya siasa, alijenga chuki kubwa kwa Dr John Pombe Magufuli na muda wote alikuwa anamuombea mabaya. John Heche alipinga ujenzi wa SGR, na uchimbaji wa bwawa la umeme la mwl nyerere akiita ni uharibifu wa mazingira na mradi huo hautafanikiwa. Kilichompata ni kushinda umakamu mwenyekiti wa Chadema lakini akafungiwa kufanya siasa yoyote ndani ya Chadema! Kwa kifupi John Heche wa kipindi cha Magufuli alikuwa huru zaidi kuliko huyu Heche wa kipindi cha Samia.

4.GODBLESS LEMA: kabla ya hapo aliwahi kuwa mvuta sigara kubwa na mwizi wa magari, kila wakati alikuwa anamtabiria kufa na hadi siku anaondoka MAGUFULI alikuwa anafanya sherehe. Kilichompata ni kuondolewa ubunge wa Arusha mjini, kuondolewa uenyekiti wa Chadema kanda ya Arusha, kutenganishwa na familia yake pamoja na biashara zake kufa zote.

Mjane wa Marehemu bado waumizwa tu na kifo chq lile shetani lenu la Chato!
Tuambie basi na Ngosha alikuachajeachaje
 
Ila wewe ni taahira
 
Humphrey Polepole namheshimu sana. Sifurahii mambo yaliyomkuta lakini lazima ukweli usemwe kwamba, yeye na wenzake walikuwa COMPLICIT kwenye matatizo mengi ambayo watanzania wanayapitia leo hii. Tena alikiri yeye mwenyewe kwamba alihusika, na akaomba msamaha hadharani. Wewe ETWEGE unataka kutuambia nini labda ???

Raisi Magufuli alichukiwa kihalali kabisa....................

Ninyi wafuasi wake ni binadamu wenye kiwango kikubwa cha ujinga vichwani................

Mtu aue, ateke na avuruge mifumo ya nchi kisingizio cha kupambana na mafisadi halafu tumchekee tu ?
​
 
Tujenge tabia ya kuamini kuwa maisha ya binadamu yana mwisho.
Kubaliana na hali halisi kwamba Magufuli hayupo tena.
Na kila mmoja atakufa maana kifo kipo tu.
Miaka mitano imeshapifa tangu kufa kwake, mwache apumzike.
 
Kama walivyo wanaCCM wengi wa aina yako, clearly hamfahamu tatizo ninini na tunatokaje.

Mnarusha lawama popote tu ilimradi mpate kuponya makovu yenu mliyoachiwa na hiyo hiyo serikali wakati huo mkikwepa kwepa kabisa kuishika shati serikali, yes hamuwezi maana unafiki ni jina lenu la katikati.
 
Mara baada ya kutekwa balozi Humphrey Polepole na kuacha damu nyingi sana, mama yake alitembelea nyumba aliyotekwa Polepole na kuahidi kuwa kila aliyeshiriki kwa namna yoyote ile kupanga, kufanikisha na kumteka balozi Polepole lazima atapatwa na jambo kila mmoja kwa wakati wake.
MZEE JOSEPH BUTIKU- Inasemekana huyu ndiyo alitoa siri zote za Humphrey Polepole kwa watekaji lakini akawapa mashariti kwamba wasimuue.
Lakini sasa mzee Butiku amepigwa stroke hatari yupo kitandani anapambania uhai wake

TUNDU LISU-Huyu alipaza sauti kubwa ya furaha na shangwe, akiwaaminisha uma kuwa Tanzania itakuwa salama zaidi bila Magufuli. Tundu Lisu aliahidi Tanzania itashitakiwa MIGA baada ya kudai haki zake za madini. Kilichompata ni kufungwa jela kwa miezi 11 hadi sasa na Tanzania hakushitakiwa MIGA.

2.GENERALI ULIMWENGU: Huyu alimchukia Magufuli tokea siku ya kwanza anaingia ofisini, sometimes ulimwengu ni miongoni mwa wachambuzi wenye mitizamo ya kiwendawazimu. Kilichompata ni biashara yake ya gazeti kufa kabisa na njaa kwake imeongezeka zaidi.

3.JOHN HECHE, Huyu ni mwanasiasa asiyefahamu nini anakihitaji, uropokaji na chuki ndiyo muhimili mkuu wa kufanya siasa, alijenga chuki kubwa kwa Dr John Pombe Magufuli na muda wote alikuwa anamuombea mabaya. John Heche alipinga ujenzi wa SGR, na uchimbaji wa bwawa la umeme la mwl nyerere akiita ni uharibifu wa mazingira na mradi huo hautafanikiwa. Kilichompata ni kushinda umakamu mwenyekiti wa Chadema lakini akafungiwa kufanya siasa yoyote ndani ya Chadema! Kwa kifupi John Heche wa kipindi cha Magufuli alikuwa huru zaidi kuliko huyu Heche wa kipindi cha Samia.

4.GODBLESS LEMA: kabla ya hapo aliwahi kuwa mvuta sigara kubwa na mwizi wa magari, kila wakati alikuwa anamtabiria kufa na hadi siku anaondoka MAGUFULI alikuwa anafanya sherehe. Kilichompata ni kuondolewa ubunge wa Arusha mjini, kuondolewa uenyekiti wa Chadema kanda ya Arusha, kutenganishwa na familia yake pamoja na biashara zake kufa zote.
5. FREEMAN MBOWE: Huyu alijirekodi video ya saa nzima akishangilia kifo cha Magufuli na hapohapo akataka chanjo ya Corona iwe ya lazima kwa watanzania wote. Kilichompata ni kufungwa miezi 8 jela na alipotoka akashindwa kwenye uchaguzi na kunyang'anywa chama alichoachiwa na mkwe wake cha Chadema. Mbowe wa sasa amepauka kama shati na akipita sehemu anazomewa kwa kuitwa Yuda Eskarioti.

6. JANUARY MAKAMBA: Huyu alikuwa bingwa wa kukejeli kila kitu kinachofanywa na Magufuli ikiwemo kuwasambazia wananchi umeme wa elfu 27. Kilichompata ni kufukuzwa uwaziri ,ubunge na kuwekwa ndani na sasa anaishi kama digidigi kwa aibu. Yani J Makamba wa kipindi cha Magufuli alikuwa huru zaidi kuliko huyu wa kipindi cha Rais Samia.
7. NAPE NNAUYE: Huyu nae alijitokeza hadharani kukejeli na kupinga ujenzi wa bwawa la umeme la mwl nyerere akiita ni uharibifu wa mazingira kukakosababisha kusinyaa kwa uchumi wa mikoa ya kusini. Kilichompata ni kufukuzwa uwaziri kwa aibu na sasa anaishi kwa aibu akijifichaficha.

8. JAKAYA KIKWETE: Huyu ametokea kuwa binadamu anayechukiwa zaidi Tanzania na octoba 29 wananchi waliendesha operesheni ya kuchoma moto mali za Jakaya Kikwete na washirika wake.

9. BENARD MEMBE: Huyu kilichompata alipomaliza kushangilia kifo na yeye katika mazingira tata yasiyoeleweka hadi leo alifariki dunia.
Uneongea nini sasa? Humphrey Polepole ndio Magufuli?
 
Back
Top Bottom