Waliomsaliti Humphrey Polepole waanza kuonja joto ya jiwe

Mara baada ya kutekwa balozi Humphrey Polepole na kuacha damu nyingi sana, mama yake alitembelea nyumba aliyotekwa Polepole na kuahidi kuwa kila aliyeshiriki kwa namna yoyote ile kupanga, kufanikisha na kumteka balozi Polepole lazima atapatwa na jambo kila mmoja kwa wakati wake.

MZEE JOSEPH BUTIKU- Inasemekana huyu ndiyo alitoa siri zote za Humphrey Polepole kwa watekaji lakini akawapa mashariti kwamba wasimuue.
Lakini sasa mzee Butiku amepigwa stroke hatari yupo kitandani anapambania uhai wake

1. TUNDU LISSU: Huyu alipaza sauti kubwa ya furaha na shangwe, akiwaaminisha uma kuwa Tanzania itakuwa salama zaidi bila Magufuli. Tundu Lisu aliahidi Tanzania itashitakiwa MIGA baada ya kudai haki zake za madini. Kilichompata ni kufungwa jela kwa miezi 11 hadi sasa na Tanzania hakushitakiwa MIGA.

2. GENERALI ULIMWENGU: Huyu alimchukia Magufuli tokea siku ya kwanza anaingia ofisini, sometimes ulimwengu ni miongoni mwa wachambuzi wenye mitizamo ya kiwendawazimu. Kilichompata ni biashara yake ya gazeti kufa kabisa na njaa kwake imeongezeka zaidi.

3. JOHN HECHE, Huyu ni mwanasiasa asiyefahamu nini anakihitaji, uropokaji na chuki ndiyo muhimili mkuu wa kufanya siasa, alijenga chuki kubwa kwa Dr John Pombe Magufuli na muda wote alikuwa anamuombea mabaya. John Heche alipinga ujenzi wa SGR, na uchimbaji wa bwawa la umeme la mwl nyerere akiita ni uharibifu wa mazingira na mradi huo hautafanikiwa. Kilichompata ni kushinda umakamu mwenyekiti wa Chadema lakini akafungiwa kufanya siasa yoyote ndani ya Chadema! Kwa kifupi John Heche wa kipindi cha Magufuli alikuwa huru zaidi kuliko huyu Heche wa kipindi cha Samia.

4. GODBLESS LEMA: kabla ya hapo aliwahi kuwa mvuta sigara kubwa na mwizi wa magari, kila wakati alikuwa anamtabiria kufa na hadi siku anaondoka MAGUFULI alikuwa anafanya sherehe. Kilichompata ni kuondolewa ubunge wa Arusha mjini, kuondolewa uenyekiti wa Chadema kanda ya Arusha, kutenganishwa na familia yake pamoja na biashara zake kufa zote.

5. FREEMAN MBOWE: Huyu alijirekodi video ya saa nzima akishangilia kifo cha Magufuli na hapohapo akataka chanjo ya Corona iwe ya lazima kwa watanzania wote. Kilichompata ni kufungwa miezi 8 jela na alipotoka akashindwa kwenye uchaguzi na kunyang'anywa chama alichoachiwa na mkwe wake cha Chadema. Mbowe wa sasa amepauka kama shati na akipita sehemu anazomewa kwa kuitwa Yuda Eskarioti.

6. JANUARY MAKAMBA: Huyu alikuwa bingwa wa kukejeli kila kitu kinachofanywa na Magufuli ikiwemo kuwasambazia wananchi umeme wa elfu 27. Kilichompata ni kufukuzwa uwaziri ,ubunge na kuwekwa ndani na sasa anaishi kama digidigi kwa aibu. Yani J Makamba wa kipindi cha Magufuli alikuwa huru zaidi kuliko huyu wa kipindi cha Rais Samia.

7. NAPE NNAUYE: Huyu nae alijitokeza hadharani kukejeli na kupinga ujenzi wa bwawa la umeme la mwl nyerere akiita ni uharibifu wa mazingira kukakosababisha kusinyaa kwa uchumi wa mikoa ya kusini. Kilichompata ni kufukuzwa uwaziri kwa aibu na sasa anaishi kwa aibu akijifichaficha.

8. JAKAYA KIKWETE: Huyu ametokea kuwa binadamu anayechukiwa zaidi Tanzania na octoba 29 wananchi waliendesha operesheni ya kuchoma moto mali za Jakaya Kikwete na washirika wake.

9. BENARD MEMBE: Huyu kilichompata alipomaliza kushangilia kifo na yeye katika mazingira tata yasiyoeleweka hadi leo alifariki dunia.
Screenshot_20260117-171041~2.png
 
Na waliopinga mradi wa umeme wa JNHP (Stiegler's ..) hawakufikiri sawa sawa.
Mmojwapo Yericko Nyerere na maandiko yake ya ujasusi wa kidola.
Huyu kwa tukio hili kwa watu makini alijulikana njaa inamfanya anatumika na wahuni ndani ya CCM. Sasa amejidhihirisha kwenye uchaguzi wa 2025.
Waliopinga miradi ya maendeleo ya Mzee Magufuli ni WAZANDIKI na VIBARAKA.

SGR, FLY-OVERS, JNHPP, MADINI, Nidhamu serikalini, Kudhibiti Mfumuko wa bei, GePG, wengi tulimpongeza na tutaendelea kumpongeza mpaka mwisho wa dahali. Amefanya mambo makubwa mno ndani ya muda mfupi.

Lakini jamaa lilikuwa ni katili lililotukuka lisiloamini UTAWALA WA SHERIA. Hivi kutesa watu vile, kuua, kufilisi, visasi na kuonesha kupendelea kabila lake kulikuwa na ulazima wowote ule ??? JPM alikosa busara na utambuzi (Discernment) katika utendaji, hakupenda kusikiliza wala kukosolewa, alipenda kusifiwa na kuimbiwa mapambio ndiyo maana jikoni kwake kukajaa majoka yaliyokuja kumuuma mwishoni.

Huwezi kusema unaamini katika OUTCOMES bila kuamini katika PROCESS.
​
 
Waliopinga miradi ya maendeleo ya Mzee Magufuli ni WAZANDIKI na VIBARAKA.

SGR, FLY-OVERS, JNHPP, MADINI, Nidhamu serikalini, Kudhibiti Mfumuko wa bei, GePG, wengi tulimpongeza na tutaendelea kumpongeza mpaka mwisho wa dahali. Amefanya mambo makubwa mno ndani ya muda mfupi.

Lakini jamaa lilikuwa ni katili lililotukuka lisiloamini UTAWALA WA SHERIA. Hivi kutesa watu vile, kuua, kufilisi, visasi na kuonesha kupendelea kabila lake kulikuwa na ulazima wowote ule ??? JPM alikosa busara na utambuzi (Discernment) katika utendaji, hakupenda kusikiliza na kukosolewa, ndiyo maana jikoni kwake kukajaa majoka yaliyokuja kumuuma mwishoni.

Huwezi kusema unaamini katika OUTCOMES bila kuamini katika PROCESS.
​
Yeah, Trust the process.
But if only if you have right people who are accustomed to working by principles. Principle of integrity.
Magufuli alikuwa dictator kiasi fulani ingawa alijaribu kuwa mzalendo.
Alizungukwa na watu waliotaka kujinufaisha wao binafsi tu.
Waliofanana naye kwa uzalendo wengi waliondoka naye au walitupwa nje baada ya yeye kuondoka.
 
Kichaa kujitambua ukichaa wake ni ngumu.Hata mlevi lazima atabisha na kusema hajalewa.
 
Na waliopinga mradi wa umeme wa JNHP (Stiegler's ..) hawakufikiri sawa sawa.
Mmojwapo Yericko Nyerere na maandiko yake ya ujasusi wa kidola.
Huyu kwa tukio hili kwa watu makini alijulikana njaa inamfanya anatumika na wahuni ndani ya CCM. Sasa amejidhihirisha kwenye uchaguzi wa 2025.
Unaweza kuleta ushahidi wa Yericko kupinga huo?
 
Yeah, Trust the process.
But if only if you have right people who are accustomed to working by principles. Principle of integrity.
Magufuli alikuwa dictator kiasi fulani ingawa alijaribu kuwa mzalendo.
Alizungukwa na watu waliotaka kujinufaisha wao binafsi tu.
Waliofanana Nye kwa uzalendo wengi waliondoka naye au walituowa nje baada ya yeye kuondoka.
The Gold Standard of Benevolent Dictatorship is Lee Kuan Yew:

Lee alikuwa ni mzalendo haswaaa. Pia alikuwa mkali, na amenyonga watu wengi sana. Lakini alikuwa na Emotional Stamina. Alikuwa hawezi kuamka akaanza kufanya jambo fulani kwa mihemko au visasi dhidi ya watu wanaopingana na sera zake. Lee hata Deng Xiaoping walikuwa hawafanyi maamuzi yoyote bila vikao, ushauri wa kitaalamu na tafakuri za kina.

Hivi wale kina Ben Saanane na Tundu Lissu walitakiwa kupitia yale ambayo wamepitia kweli ???

JPM alikuwa anapenda mno majungu na michezo ya fitna, ndiyo maana ikawa rahisi kwake kuzungukwa na maadui. Kama angekuwa anafuata ushauri angekuwa hai mpaka leo hii. Watu wa kwanza kabisa kumshauri JPM walikuwa ni kina Cardinal Pengo (R.I.P), Mkapa (R.I.P), Warioba, Samata ila yeye aliwapuuza na kusema kuna wazee wanawashwa-washwa. Akaanza kusikiliza majungu ya kina Bashite, Mnyeti na vijana wengine wa TISS.

Mzee Mkapa alifanikiwa mno kwenye uongozi wake, kwasababu alikuwa haendekezi majungu. Alikuwa anafuata utaalamu. Kuna kipindi kina Marehemu Jenista Muhagama walienda kumpelekea vimajungu-jungu yule Mzee, akafura na kuwafukuza. Alikuwa na hasira na alifanya makosa, lakini kiuongozi hakutengeneza maadui wasiokuwa na sababu.

JPM, angewasikiliza ushauri, basi hata kama angeondoka angekuwa kaacha nchi yenye mfumo wa tofauti kabisa ambapo kina CHEKI-BOBU na MTANDAO wake wasingediriki kuchezea nchi na chama namna hii. Ukweli mchungu ni kwamba asilimia 40% ya maadui aliokuwa nao walikuwa hawana ulazima kuwatengeneza. Wewe una ugomvi hadi na kina Mzee Barnaba Samatta utakuwa mzima kweli ???
​
 
Mara baada ya kutekwa balozi Humphrey Polepole na kuacha damu nyingi sana, mama yake alitembelea nyumba aliyotekwa Polepole na kuahidi kuwa kila aliyeshiriki kwa namna yoyote ile kupanga, kufanikisha na kumteka balozi Polepole lazima atapatwa na jambo kila mmoja kwa wakati wake.

MZEE JOSEPH BUTIKU- Inasemekana huyu ndiyo alitoa siri zote za Humphrey Polepole kwa watekaji lakini akawapa mashariti kwamba wasimuue.
Lakini sasa mzee Butiku amepigwa stroke hatari yupo kitandani anapambania uhai wake

1. TUNDU LISSU: Huyu alipaza sauti kubwa ya furaha na shangwe, akiwaaminisha uma kuwa Tanzania itakuwa salama zaidi bila Magufuli. Tundu Lisu aliahidi Tanzania itashitakiwa MIGA baada ya kudai haki zake za madini. Kilichompata ni kufungwa jela kwa miezi 11 hadi sasa na Tanzania hakushitakiwa MIGA.

2. GENERALI ULIMWENGU: Huyu alimchukia Magufuli tokea siku ya kwanza anaingia ofisini, sometimes ulimwengu ni miongoni mwa wachambuzi wenye mitizamo ya kiwendawazimu. Kilichompata ni biashara yake ya gazeti kufa kabisa na njaa kwake imeongezeka zaidi.

3. JOHN HECHE, Huyu ni mwanasiasa asiyefahamu nini anakihitaji, uropokaji na chuki ndiyo muhimili mkuu wa kufanya siasa, alijenga chuki kubwa kwa Dr John Pombe Magufuli na muda wote alikuwa anamuombea mabaya. John Heche alipinga ujenzi wa SGR, na uchimbaji wa bwawa la umeme la mwl nyerere akiita ni uharibifu wa mazingira na mradi huo hautafanikiwa. Kilichompata ni kushinda umakamu mwenyekiti wa Chadema lakini akafungiwa kufanya siasa yoyote ndani ya Chadema! Kwa kifupi John Heche wa kipindi cha Magufuli alikuwa huru zaidi kuliko huyu Heche wa kipindi cha Samia.

4. GODBLESS LEMA: kabla ya hapo aliwahi kuwa mvuta sigara kubwa na mwizi wa magari, kila wakati alikuwa anamtabiria kufa na hadi siku anaondoka MAGUFULI alikuwa anafanya sherehe. Kilichompata ni kuondolewa ubunge wa Arusha mjini, kuondolewa uenyekiti wa Chadema kanda ya Arusha, kutenganishwa na familia yake pamoja na biashara zake kufa zote.

5. FREEMAN MBOWE: Huyu alijirekodi video ya saa nzima akishangilia kifo cha Magufuli na hapohapo akataka chanjo ya Corona iwe ya lazima kwa watanzania wote. Kilichompata ni kufungwa miezi 8 jela na alipotoka akashindwa kwenye uchaguzi na kunyang'anywa chama alichoachiwa na mkwe wake cha Chadema. Mbowe wa sasa amepauka kama shati na akipita sehemu anazomewa kwa kuitwa Yuda Eskarioti.

6. JANUARY MAKAMBA: Huyu alikuwa bingwa wa kukejeli kila kitu kinachofanywa na Magufuli ikiwemo kuwasambazia wananchi umeme wa elfu 27. Kilichompata ni kufukuzwa uwaziri ,ubunge na kuwekwa ndani na sasa anaishi kama digidigi kwa aibu. Yani J Makamba wa kipindi cha Magufuli alikuwa huru zaidi kuliko huyu wa kipindi cha Rais Samia.

7. NAPE NNAUYE: Huyu nae alijitokeza hadharani kukejeli na kupinga ujenzi wa bwawa la umeme la mwl nyerere akiita ni uharibifu wa mazingira kukakosababisha kusinyaa kwa uchumi wa mikoa ya kusini. Kilichompata ni kufukuzwa uwaziri kwa aibu na sasa anaishi kwa aibu akijifichaficha.

8. JAKAYA KIKWETE: Huyu ametokea kuwa binadamu anayechukiwa zaidi Tanzania na octoba 29 wananchi waliendesha operesheni ya kuchoma moto mali za Jakaya Kikwete na washirika wake.

9. BENARD MEMBE: Huyu kilichompata alipomaliza kushangilia kifo na yeye katika mazingira tata yasiyoeleweka hadi leo alifariki dunia.
Umeandika kama unaweweseka! Hatuelewi tushike lipi! Waliomsaliti Polepole, au walioshangilia kifo cha Magufuli?
Mambo kibao umeyaongelea kwenye mada moja! Ni kwamba umemkumbuka Magufuli kiasi hiki, au! Vipi na wewe unayewacheka wengine, hapo ulipo huisomi namba? Au Magufuli alikuachia mapesa ya kutosha ya kutumia kwa miaka mingi ijayo?
 
Na waliopinga mradi wa umeme wa JNHP (Stiegler's ..) hawakufikiri sawa sawa.
Mmojwapo Yericko Nyerere na maandiko yake ya ujasusi wa kidola.
Huyu kwa tukio hili kwa watu makini alijulikana njaa inamfanya anatumika na wahuni ndani ya CCM. Sasa amejidhihirisha kwenye uchaguzi wa 2025.
Yericko nyerere ni malaya wa kisiasa, kila kitu chenye maana kwa watanzania anapinga
 
Umeandika kama unaweweseka! Hatuelewi tushike lipi! Waliomsaliti Polepole, au walioshangilia kifo cha Magufuli?
Mambo kibao umeyaongelea kwenye mada moja! Ni kwamba umemkumbuka Magufuli kiasi hiki, au! Vipi na wewe unayewacheka wengine, hapo ulipo huisomi namba? Au Magufuli alikuachia mapesa ya kutosha ya kutumia kwa miaka mingi ijayo?
Aliacha barabara ya njia 8 inatosha
 
Back
Top Bottom