Waliomsaliti Humphrey Polepole waanza kuonja joto ya jiwe

Waliomsaliti Magufuli wote wanadunda tena kifua mbele, humuoni Makonda anavyozidi kutamba na ndiye alitoa password kwa wanamtandao nao wamemzawadia ubunge na uwaziri. Wewe akili yako iko kwenye kinyeo chako ndiyo maana unachanganya mafaili.
 
Namkubali magufuli kwa upande fulani ila yeye ndio msababisha wa yote yanayoendelea sasa
Watanzania akili zao hovyo, unamkubali magufuli aliyeivuruga nchi mpaka imefikia polisi kuua raia kuwa jambo la kiutawala na sio jinai. Ukipembua kisayansi mauji ya oktoba 29 mzizi wake ni utawala wa Magufuli.
 
Title polepole yaliyomo ndani magufuli
 
Watanzania akili zao hovyo, unamkubali magufuli aliyeivuruga nchi mpaka imefikia polisi kuua raia kuwa jambo la kiutawala na sio jinai. Ukipembua kisayansi mauji ya oktoba 29 mzizi wake ni utawala wa Magufuli.
Kajifunze kusoma kwa ufahamu kobe wewe
 
Waliomsaliti Magufuli wote wanadunda tena kifua mbele, humuoni Makonda anavyozidi kutamba na ndiye alitoa password kwa wanamtandao nao wamemzawadia ubunge na uwaziri. Wewe akili yako iko kwenye kinyeo chako ndiyo maana unachanganya mafaili.
Unamchafua tu
 
Unamchafua tu
Hujui kitu ndiyo maana unabwata tu, Magufuli alimstukia ndiyo maana alimuacha akagombee ubunge Kigamboni na akaagiza apigwe chini but it was already too late damage ilikuwa imeshafanyika, jiulize uswahiba wa Nyamitako na wanamtandao umetokea wapi.
 
Makonda alishindwa ubunge Kigamboni kihalali kabisa na kura alizihesabu yeye mwenyewe
 
Wakulaumiwa ni sa100.wengine mnawasingizia tu.sa100mbovu ndiyo aliagiza kwenda kumuua mzalendo wetu polepole.Yote haya yanamwisho.AWAMU YA PILI YA MAANDAMANO INAKUJA ILI KUYAFUTA HAYA MAMBO YA KIJINGA.
 
Makonda alishindwa ubunge Kigamboni kihalali kabisa na kura alizihesabu yeye mwenyewe
Unafikiri kama Magufuli angetaka awe mbunge angeshindwa kutoa amri atangazwe yeye? Magu alimstukia nyamitako kuwa ni snitch ndiyo akamtosa hadi Bimsumi alimpomuokota kwa ushauri wa Msoga ili kumlipa fadhila.
 
Lipi ni lipi hapa?maana kichwa cha habari kinasema vingine,habari yenyewe ni mrenda na chai
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…