Waliomsaliti Humphrey Polepole waanza kuonja joto ya jiwe

Rekebisha heading, zaid ya hapo ulichoandika ni TAKATAKA,USHABWADA, hakiendani na Content MAUDHUI 🤣🤣🤣🤣
 
Pindi habari inapokuwa taarifa na taarifa ikawa habari hapo ndipo balaa linakoanzia🤯
 
Magu ndio muasisi wa huu ukatili unaoendelea na yeye alipata stahiki yake akatangulia.
Vipi kwa mateso ya Dr ulimboka, kifo cha Daudi Mwangosi na risasi ya bega la Sheikh Ponda kule Morogoro? Ilikuwa ni wakati wa awamu ipi?
 
We dogo ni mnafiki sana, Acha hizi tabia bhana.
 
Namkubali magufuli kwa upande fulani ila yeye ndio msababisha wa yote yanayoendelea sasa
Uko sahihi, Ndie muasisi wa siasa za uchawa na udictator sambamba na kuua japo demokrasia kidogo aliyoikuta.
Ona sasa vyombo vyoote na taasisii zote ni mali ya Rais.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…