Waliomteka na kumuua Mzee Ali Mohamedi waajua kama watu wa Tanga wana nongwa?

je parle

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2018
Posts
2,022
Reaction score
3,919
Moderator naomba uzi wangu usiunganishwe na uzi mwingine sehemu yeyote. Tafadhali.

Niende kwenye mada hapo juu. Katika hii mission ya kumdhuru huyu mzee ambae hakuwa na impact yeyote kwenye nchi bali alikuwa na impact katika maisha yake na watu wake waliomzunguka .

Nipende kusema kwamba hawa waliochora ramani wamekurupuka na kumuua walii wa Allah na kama mnavyojua watu wa TANGA nongwa ndio mausha yao ya kila siku.

Napenda kusema tu hawa wauwaji sijui kama Christmas watakula na wenzao lazima na wao watatangulizwa akhera tu au kutiwa kichaa na kuanza kuokota makopo

Kuna kitu kinaitwa muma hao wataenda kushitakiwa kwa mungu mana hakuna pakukimbilia zaidi

Nyie vijana mnaolipwa laki 4 mnatumiwa na wanasiasa kwa maslahi yao basi kitakuta kitu ambacho kitamkumba aliewatuma mpaka nyie watekelezaji wa mwisho. Familia zenu hazitakaa ziamini kitakachowapata.

TANGA bado wazee wa vitabu wapo kwahiyo nyie vijana wenye tamaa ambao mmeahidiwa vyeo basi dawa yenu inachemka wala haiko mbali

RIP IN ADVANCE VIJANA MLIOFANYA MAUWAJI

Nimesema haya kuna kisa kilitokea kule njia ya mtamba suala wanajeshi watatu walipiga raia mmoja akaenda kufia njiani basi bwana ndugu zake na yule raia wakakaa kitako na kufanya yao basi wale wajeda waliompiga walikufa wote bila kuguswa na mtu. HIKI NDIO KINAENDA KUWATOKEA HAWA WALIO MUUA MZEE ALI MOHAMEDI

kisa cha pili kuna brother alimwagiwa tundikali wakati anatoka kaZini basi babu yeke akasema tulia kijana tuwafundishe adabu wazazi wao.

Kikaenda kupigwa kitu basi wale walio husika kumwagia tindikali brother yule walikufa wote kwa wakati unaokaribiana.

Nisiwachoshe ila vijana vijana wameyakanyaga.
 
😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
 
Mimi sio Mwepesi sana wa Kuamini Mambo. Ila 2011. Kuna Kijana alipigwa mpaka wakamvunja mkono.
Aliwaomba sana msamaha wale Wanajeshi walio kua wanampga yule Kijana ilikua mida ya saa 12 jioni kuelekea mida ya saa moja usiku.

Baada ya muda alikuja Kijana mmoja hivi, akaona lile tukio aliongea kwa Uchungu " Hawa wanajivunia kazi yako, Wanamtesa Kijana wa watu, hiyo kazi wataikosa, kuna maneneno aliyatamka sijui maana yake.

Hao watu sasa hivi wameshafukuzwa kazi.
 
Hivi huwa najiuliza hizo albadiri, visomo huwa vinafananya kazi kweli?! Watumie hata uchawi kuwaroga mtu yeyote mwenye kujinasibisha na ccm
 
Hawa waliotenda huu ukatili wataulipia tu, hilo halikwepeki.
 
Moderator naomba uzi wangu usiunganishwe na uzi mwingine sehemu yeyote. Tafadhali.

Niende kwenye mada hapo juu. Katika hii mission ya kumdhuru huyu mzee ambae hakuwa na impact yeyote kwenye nchi bali alikuwa na impact katika maisha yake na watu wake waliomzunguka .

Nipende kusema kwamba hawa waliochora ramani wamekurupuka na kumuua walii wa Allah na kama mnavyojua watu wa TANGA nongwa ndio mausha yao ya kila siku.

Napenda kusema tu hawa wauwaji sijui kama Christmas watakula na wenzao lazima na wao watatangulizwa akhera tu au kutiwa kichaa na kuanza kuokota makopo

Kuna kitu kinaitwa muma hao wataenda kushitakiwa kwa mungu mana hakuna pakukimbilia zaidi

Nyie vijana mnaolipwa laki 4 mnatumiwa na wanasiasa kwa maslahi yao basi kitakuta kitu ambacho kitamkumba aliewatuma mpaka nyie watekelezaji wa mwisho. Familia zenu hazitakaa ziamini kitakachowapata.

TANGA bado wazee wa vitabu wapo kwahiyo nyie vijana wenye tamaa ambao mmeahidiwa vyeo basi dawa yenu inachemka wala haiko mbali

RIP IN ADVANCE VIJANA MLIOFANYA MAUWAJI

Nimesema haya kuna kisa kilitokea kule njia ya mtamba suala wanajeshi watatu walipiga raia mmoja akaenda kufia njiani basi bwana ndugu zake na yule raia wakakaa kitako na kufanya yao basi wale wajeda waliompiga walikufa wote bila kuguswa na mtu. HIKI NDIO KINAENDA KUWATOKEA HAWA WALIO MUUA MZEE ALI MOHAMEDI

kisa cha pili kuna brother alimwagiwa tundikali wakati anatoka kaZini basi babu yeke akasema tulia kijana tuwafundishe adabu wazazi wao.

Kikaenda kupigwa kitu basi wale walio husika kumwagia tindikali brother yule walikufa wote kwa wakati unaokaribiana.

Nisiwachoshe ila vijana vijana wameyakanyaga.
Tutajuaje
 
Naunga mkono hoja WAZEE WA TANGA msituangushe ,wapige TEGO la ndizi ili iwe FUNDISHO kwa wahuni wengine ,hao waliomuua Kamanda Meddy nao wadondoke mmoja mmoja.
 
Moderator naomba uzi wangu usiunganishwe na uzi mwingine sehemu yeyote. Tafadhali.

Niende kwenye mada hapo juu. Katika hii mission ya kumdhuru huyu mzee ambae hakuwa na impact yeyote kwenye nchi bali alikuwa na impact katika maisha yake na watu wake waliomzunguka .

Nipende kusema kwamba hawa waliochora ramani wamekurupuka na kumuua walii wa Allah na kama mnavyojua watu wa TANGA nongwa ndio mausha yao ya kila siku.

Napenda kusema tu hawa wauwaji sijui kama Christmas watakula na wenzao lazima na wao watatangulizwa akhera tu au kutiwa kichaa na kuanza kuokota makopo

Kuna kitu kinaitwa muma hao wataenda kushitakiwa kwa mungu mana hakuna pakukimbilia zaidi

Nyie vijana mnaolipwa laki 4 mnatumiwa na wanasiasa kwa maslahi yao basi kitakuta kitu ambacho kitamkumba aliewatuma mpaka nyie watekelezaji wa mwisho. Familia zenu hazitakaa ziamini kitakachowapata.

TANGA bado wazee wa vitabu wapo kwahiyo nyie vijana wenye tamaa ambao mmeahidiwa vyeo basi dawa yenu inachemka wala haiko mbali

RIP IN ADVANCE VIJANA MLIOFANYA MAUWAJI

Nimesema haya kuna kisa kilitokea kule njia ya mtamba suala wanajeshi watatu walipiga raia mmoja akaenda kufia njiani basi bwana ndugu zake na yule raia wakakaa kitako na kufanya yao basi wale wajeda waliompiga walikufa wote bila kuguswa na mtu. HIKI NDIO KINAENDA KUWATOKEA HAWA WALIO MUUA MZEE ALI MOHAMEDI

kisa cha pili kuna brother alimwagiwa tundikali wakati anatoka kaZini basi babu yeke akasema tulia kijana tuwafundishe adabu wazazi wao.

Kikaenda kupigwa kitu basi wale walio husika kumwagia tindikali brother yule walikufa wote kwa wakati unaokaribiana.

Nisiwachoshe ila vijana vijana wameyakanyaga.
Kwani Mohammed Mtoi (RIP) na yeye si alikuwa wa Tanga? Au mtenda dhurma akiwa ni wa Tanga huwa haina impact?
 
Warogwe tu na wasife haraka wapate joto kwanza ili wengine wajifunze
 
Malipo ni hapa hapa iko wazi bila hata visomo ndicho ninachofahamu.
 
Back
Top Bottom