Adui wa mpwayungu villagePumzika kwa amani mwalimu Monica Patrick. Haki itapatikana tu kwa hao wauaji wako.
By the way, biashara wala haihitaji uchawi! Hivyo watu wasikubali kutapeliwa kirahisi na wazee wa mjini. Tena wengine wapo mpaka humu jukwaani.
Mpwayungu ana disorder kichwani. Siyo kwa chuki zake zile dhidi ya walimu.Adui wa mpwayungu village
Kweli aisee jamaa wapumbavu sana watauaje mwanamke mzuri!??Kinacho niuma alikua mrembo sana
Ila nyie elimu muhimu sana, sasa hiyo Hela walipogawana ndio wakaenda kuweka heshima bar ...elimu elimu. Uhai wa mtu ni zaidi ya pesa. Wajomba zangu wajinga sana
Kuna dogo mmoja naye aliwahi kufilisika kupitia utapeli wa aina hii hii. Kuna mwenzake alimdanganya eti Tunduma kuna waganga wa aina hiyo!Walimdanganya apeleke hizo pesa zikaombewe ili ziongezeke kishirikina. RIP mwalimu.
Mshahara wa dhambi ni mauti... kafia katika ushirikina!
Wamo aisee. Kuna watu wanaitwa Tindo na Sexless; kila nikisoma comments zao nywele zinanisisimka!! Ndo hawa Waganga matapeliPumzika kwa amani mwalimu Monica Patrick. Haki itapatikana tu kwa hao wauaji wako.
By the way, biashara wala haihitaji uchawi! Hivyo watu wasikubali kutapeliwa kirahisi na wazee wa mjini. Tena wengine wapo mpaka humu jukwaani.
Mbona Zito anafanikiwa?Kuna dogo mmoja naye aliwahi kufilisika kupitia utapeli wa aina hii hii. Kuna mwenzake alimdanganya eti Tunduma kuna waganga wa aina hiyo!
Akachukua milioni 10 ya mtaji na kuipeleka kwa mganga, akiamini itaongezeka! Matokeo yake dogo aliishia tu kutapeliwa, na mpaka leo hajafanikiwa kurudi katika kile kiwango chake cha biashara.
Binafsi nitakuwa mtu wa mwisho kuamini eti mtu hawezi kufanya biashara, bila ya uchawi.