Walionipa ushauri jinsi ya kuacha punyeto hapa JF Asanteni sana.

Walionipa ushauri jinsi ya kuacha punyeto hapa JF Asanteni sana.

Ata sjui tena nimejaribu sana kuwafata ila hunambia nisubirie majibu wengne hunambia hawataki na akikubali anasema hanipi hadi nimuoe
Muda sahihi wa kupata bado mkuu
Hta mimi kuna kipindi nilikua nikiwafata wamama wananijibu majibu ya ajabu ila nikawa mvumilivu..

Mpaka sasa hakuna mmama anayenishinda an nawawezea kweli kweli an
 
Asanteni sana ndio neno la kwaza naanza nalo.
Nilileta mada hapa mnishauri jinsi ya kuacha kuangalia video za uchi na kujichua.

Kuna walio nishauri, walio ni benza na kunidharau na kunidhihaki kama sitokuja niache.

Kuna walio nipa moyo kwamba Ata ikitokea nimejaribu kuacha ila nkafanya nisikate tamaa
Leo inakaribia mwezi wa pili sasa sjaangalia wala kujichua na sio kawaida yangu mana ilikua haipiti siku 3 bila ya kufanya hivo

Asanteni sana wana JF mungu atawalipa mema. Amina
😀Miezi miwili bado sana we hujaacha upo likizo
 
Back
Top Bottom