Walionusurika wasimulia jinsi Boko Haram walivyowachinja wakulima

Walionusurika wasimulia jinsi Boko Haram walivyowachinja wakulima

Afadhali umetutafsiria kwa kiswahili kwani siku hizi kiiengereza Afrika Mashariki ni shida.
Walionusurika wanasema hao bokoharam walikuwa wakilima nao mpunga mpaka siku hiyo wakaenda kufichua bunduki zao.Umoja wa Mataifa unasema walikuja katika msafara wa pikipiki. Sehemu nyengine walikuwa na makubaliano na kijiji jirani lakini bokoharam walikasirika kwa kukamatwa mwenzao na kupelekwa kwenye mamlaka ndio wakaamua kuuwa wakulima hao.
Ina maana hii habari huiamini.
 
Inasadikiwa Buhari ni sponsor Wa boko haram ,sijui kuna ukweli. Ila nasikia Marekani na baadhi ya wanasiasa wenye nguvu mle Nigeria ndio wafadhili wao wakuu. Imefika mahali wanatumia drones. Kwa vyovyote wana backers wazito nchini na nje ya nchi.

Sent from my TECNO-J5 using JamiiForums mobile app
Kama ni kweli: motive. Ya Buhari ni nini?, Ni kupata fedha kitoka kwenye biashara za hao wanamgambo!? Au ni kupunguza population ya wasio waislam!?
 
Kwanza kiini cha haya yote ni nini?Naona mnawalaumu boko haramu ,sijui dini ,ohh yaani tutafute mzizi wa tatizo .Juzi limeteuliwa Baraza la mawaziri niliona maoni mengi kuhusu namna Baraza lilivyopendelea juu ya udini na haya maneno yanakwendaaaaaa halafu yatachokwa kwa baadhi ya watu huku watu wakifurahi kwa vijembe na kejeli lakini wanasahau nchi ni ya watanzania wote vizazi vijavyo kama hali hii itaendelea huko makaburini 2090 mtakuja kujibu maana hapo Nigeria kwa Sasa naona Majibu wanapata kwa vitendo ,tujiulize mara mbili kuna nini kwa weusi wenzetu
 
Kama ni kweli: motive. Ya Buhari ni nini?, Ni kupata fedha kitoka kwenye biashara za hao wanamgambo!? Au ni kupunguza population ya wasio waislam!?
Wote hao boko Haram waliwachinja ni Waislamu
 
Chanzo cha boko haram ni helmet za pikipiki(ukatili wa polisi) siku nikipata muda nitakuelezea kwa kirefu kidogo ujue why helmet zilivyoiibua boko haram
Kwanza kiini cha haya yote ni nini?Naona mnawalaumu boko haramu ,sijui dini ,ohh yaani tutafute mzizi wa tatizo .Juzi limeteuliwa Baraza la mawaziri niliona maoni mengi kuhusu namna Baraza lilivyopendelea juu ya udini na haya maneno yanakwendaaaaaa halafu yatachokwa kwa baadhi ya watu huku watu wakifurahi kwa vijembe na kejeli lakini wanasahau nchi ni ya watanzania wote vizazi vijavyo kama hali hii itaendelea huko makaburini 2090 mtakuja kujibu maana hapo Nigeria kwa Sasa naona Majibu wanapata kwa vitendo ,tujiulize mara mbili kuna nini kwa weusi wenzetu
 
Ina maana hii habari huiamini.
Hili tukio yawezekana limetokea,ambacho sikiamini ni nani waliofanya,ukubwa wa tukio na kukinzana kwa ilivyotekea.Kwa kila mtu aliye makini na mfuatiliaji wa habari za aina hii hawezi kunilaumu na hawezi kuwa na hoja za kunifanya nimuamini kama hajajibu shaka nyingi zilizopo hapo.
Binadamu kila siku wanaelekea kwenye unyama,kuhariri picha,kusema uongo,kutia chumvi jambo na kufanya ukatili usio na sababu kwa kumridhisha mwengine ni jambo la kawaida.Kabla hatujasafiri kwenda Nigeria na Msumbiji na kwengineko jaribu kuangalia matukio yaliyotokea Tanzania mengi ambayo hayana majibu na yako yanayolazimishwa yatokee hadharani hata kama hayakuwepo.
Katika hali hiyo utayaamini vipi unayoyasikia mbali ilhali umseshaona yanayofanana nayo huko Tanzania.
Sina imani na yeyote anayeamini kila anachosikia na kulazimisha wengine wakiamini.Hizi si tabia za kibinadamu bali ni udhaifu mkubwa wa utu wa mtu na upungufu wa akili ya kisomi.
 
Uingereza iliwahi kuomba ruhusa ya kuwamaliza but rais wa nchi Buhari alikataa
Buhari ni Bolo Haram jihadist aliyevaa kot la urais..
kumbuka nae anatoka katika jamii ya FULANI
 
Kwa siku kadhaa magaidi ya boko Haram waliishi, kufanya kazi na kula pamoja na wakulima hawa wa mchele kwasababu nao walijifanya waajiriwa.
Ilipofika alasiri jumamosi iliyopita ghafla wakatoa bunduki zao kuwakusanya na kuanza kuwachinja.

Endelea kusoma

This was the nightmare recounted by survivors of a massacre that unfolded in the rice fields of northeastern Nigeria on Saturday.

The bloodbath set a new standard of brutality in Boko Haram's 11-year-old jihadist insurgency.

Seventy-six people died, according to the authorities. Many were impoverished farm workers who were tied up before their throats were slit.

A traumatised survivor aged 24, who can be called Abdul, said the murderers posed as labourers who had come to the fields in Koshobe, Borno state, to do seasonal work.

"I ran errands for them, getting them food and washing their plates," said Abdul, who came with hundreds of others from Kebbi, a poor region 1,000 kilometres (600 miles) away.

Around 40 jihadists were involved in the massacre, according to survivors.

- 'Ploy' -

In the early afternoon of Saturday, they took out their guns and herded about 60 workers in front of an abandoned building, said Abdul.

"They separated the aged (from) the rest of us and said we should take turns to pay homage to their leader who was in the house," he said.

"But it was only a ploy because whoever went in never came out."

"At a point one of the insurgents guarding us told us that we were being slaughtered and asked us to flee," he said. "I was one of the few lucky ones."

As he fled, he witnessed the unbearable: "The assailants then went on a killing spree, seizing workers on rice fields, tying them up and slitting their throats."

It appears that the jihadists also targeted workers who were from the nearby village of Zabarmari, even though the village had a protection deal with Boko Haram.

Bello Muhammad's younger brother Ali, aged 20, was among those killed.

"They asked who among them was from Zabarmari and my brother immediately stepped forward and was asked to enter the house where he was slaughtered," he said, recounting what was said to him by a witness.

"There was an agreement that the jihadists would never attack Zabarmari residents, which was why Ali was quick to step forward, thinking he would be spared."

Forty-three corpses were found in the building, and 33 have been found in the rice fields. More, it is feared, have yet to be discovered.

- Search for bodies -

Teams continued the search for bodies on Tuesday, plodding through the expansive marshland on foot, trudging behind tractors.

"It is a tiring job because regular vehicles can't move in the difficult terrain because they will definitely get stuck," said Abdullahi Umar, a member of the search team.

He described the search as "dangerous" because Boko Haram operates in the area, which has footpaths that link to its haven in the Sambisa forest.

At least 36,000 people have been killed and two million displaced since the jihadists launched their bloody campaign in northeast Nigeria in 2009.

The UN, in an early account of the latest massacre, said that the assailants arrived by motorbike, and gave a preliminary death toll, since retracted of 110.

It has not been ruled out that several groups may have taken part.

On Tuesday, Boko Haram said it was "responsible for what happened around Maiduguri in recent days... especially in Zabarmari."

The killing, it said, was in retaliation for the death of one of its members who had been arrested by villagers and handed over to the authorities.
b
waislamu hawa, wanaua kwa kuchinja wakristu huko nigeria na wakifa wanapata ma-bikra 70
 
b
waislamu hawa, wanaua kwa kuchinja wakristu huko nigeria na wakifa wanapata ma-bikra 70
[emoji38][emoji38]Cha ajabu muanzilishi wa Jihad na kujilipua alikuwa haendi anajificha nyuma.
Daah ndomaana maraisi wa nchi mbili wakizinguana wanaoumia ni wanajeshi na raia wa kawaida...siasa mbaya sanaaa

Narrated Abu Huraira:

The Prophet said, "By Him in Whose Hands my life is![color= #FF000] Were it not [/color]for some men amongst the believers who dislike to be left behind me and whom I cannot provide with means of conveyance, [color= #FF000]I would certainly never remain behind any Sariya' (army-unit) setting out in Allah's Cause.[/color] By Him in Whose Hands my life is! I would love to be martyred in Allah's Cause and then get resurrected and then get martyred, and then get resurrected again and then get martyred and then get resurrected again and then get martyred."

Matyr-A person who dies/is killed because of his faith/religion
 
mbaya sana, unaua wenzako ili upate ma-bikra 70
 
Baada ya Nigeria kwa kushirikiana na nchi jirani kufanikiwa kulirudisha nyuma hili kundi ndio hao mabeberu wanaibuka na kusema wapo tayari kutoa misaada, huo ni unafiki na kujikosha tu na ni bora walikataliwa.
Kwa hiyo hapo walipo wamerudi nyuma, na wanaua hivi! Je wakati wako mbele?
 
Back
Top Bottom