Mcqueenen
JF-Expert Member
- Nov 2, 2019
- 6,843
- 11,702
Dini ni zaidi ya Unga...inakula kabisa sehemu ya ubongoUsije uliza maswali ya kitoto hv tena mbele za watu wazima
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dini ni zaidi ya Unga...inakula kabisa sehemu ya ubongoUsije uliza maswali ya kitoto hv tena mbele za watu wazima
Sio boko haram waliochinja watu,ni wahuni tu wa mtaani waliamua kuchinja watu..Hapo tupo sawa?Hili tukio yawezekana limetokea,ambacho sikiamini ni nani waliofanya,ukubwa wa tukio na kukinzana kwa ilivyotekea.Kwa kila mtu aliye makini na mfuatiliaji wa habari za aina hii hawezi kunilaumu na hawezi kuwa na hoja za kunifanya nimuamini kama hajajibu shaka nyingi zilizopo hapo.
Binadamu kila siku wanaelekea kwenye unyama,kuhariri picha,kusema uongo,kutia chumvi jambo na kufanya ukatili usio na sababu kwa kumridhisha mwengine ni jambo la kawaida.Kabla hatujasafiri kwenda Nigeria na Msumbiji na kwengineko jaribu kuangalia matukio yaliyotokea Tanzania mengi ambayo hayana majibu na yako yanayolazimishwa yatokee hadharani hata kama hayakuwepo.
Katika hali hiyo utayaamini vipi unayoyasikia mbali ilhali umseshaona yanayofanana nayo huko Tanzania.
Sina imani na yeyote anayeamini kila anachosikia na kulazimisha wengine wakiamini.Hizi si tabia za kibinadamu bali ni udhaifu mkubwa wa utu wa mtu na upungufu wa akili ya kisomi.
Sidhani waingereza Kama wanawez kuwamalizA Hawa wapumbavu.. wao hupigana kufa kupona wakifa wanahamAsikA zaidi kuipata pepoUingereza iliwahi kuomba ruhusa ya kuwamaliza but rais wa nchi Buhari alikataa
Waingereza wanaweza, waliweza kule Sieraleon. Tafuta OPERATION BARRAS uone walivyofanyaSidhani waingereza Kama wanawez kuwamalizA Hawa wapumbavu.. wao hupigana kufa kupona wakifa wanahamAsikA zaidi kuipata pepo
Wale Ni waasi.. Ni tofauti kabisa na hao waitwao magaidi. Magaidi wanaamini akifa ataenda peponi.Waingereza wanaweza, waliweza kule Sieraleon. Tafuta OPERATION BARRAS uone walivyofanya
Jiulize sasa.Kwa hiyo hapo walipo wamerudi nyuma, na wanaua hivi! Je wakati wako mbele?
Sioni tofauti ya "muasi" na "gaidi"Wale Ni waasi.. Ni tofauti kabisa na hao waitwao magaidi. Magaidi wanaamini akifa ataenda peponi.
Muasi hupigania maisha Bora ya duniani ..
Uungereza Yuko Syria, Afghanistan kwanini hajawasambaratisha taleban(19) ISIS mpaka leo?
Muasi Ni mpiganaji kwa malengo ya maisha mazuri ya duniani hasa mamlaka ...Sioni tofauti ya "muasi" na "gaidi"
So unathibitisha kuwa ni imani inayokuwa hai kwa kafara za damu za watu?! Sasa wewe unatofauti gani na waabudu mawe...lahabith la hamal mkubwa wewe...it has been narrated on the authority of Abdullah b. 'Umar that the Messenger of Allah said:
"I have been [COLOR= #FF0000]commanded [/COLOR]to [COLOR= #FF0000]fight against [/COLOR]people[COLOR= #FF0000]untill [/color]they testify that there is no god but Allah, that Muhammad is the messenger of Allah, and they establish prayer, and pay Zakat and [COLOR= #FF0000 ]if[/color] they do it, their [COLOR= #FF0000]BLOOD [/COLOR]and property are guaranteed protection on my behalf except when justified by law, and their affairs rest with Allah."
Naunga mkono hoja buhari hawezi kufinance wajinga hao but ye Ni rais dhaifu Sana. Hana action za kiungozi licha ya kwamba aliwahi kuwa generaliSi kwamba anawafinance.Mi naona ni raisi mjinga mjinga tu.Hafai kabisa kuongoza taifa kubwa na tajiri lenye wasomi kama Nigeria.Angepewa kisiwa kidogo akatawala.