Walionusurika wasimulia jinsi Boko Haram walivyowachinja wakulima

Sio boko haram waliochinja watu,ni wahuni tu wa mtaani waliamua kuchinja watu..Hapo tupo sawa?
 
Uingereza iliwahi kuomba ruhusa ya kuwamaliza but rais wa nchi Buhari alikataa
Sidhani waingereza Kama wanawez kuwamalizA Hawa wapumbavu.. wao hupigana kufa kupona wakifa wanahamAsikA zaidi kuipata pepo
 
Sidhani waingereza Kama wanawez kuwamalizA Hawa wapumbavu.. wao hupigana kufa kupona wakifa wanahamAsikA zaidi kuipata pepo
Waingereza wanaweza, waliweza kule Sieraleon. Tafuta OPERATION BARRAS uone walivyofanya
 
Waingereza wanaweza, waliweza kule Sieraleon. Tafuta OPERATION BARRAS uone walivyofanya
Wale Ni waasi.. Ni tofauti kabisa na hao waitwao magaidi. Magaidi wanaamini akifa ataenda peponi.
Muasi hupigania maisha Bora ya duniani ..
Uungereza Yuko Syria, Afghanistan kwanini hajawasambaratisha taleban(19) ISIS mpaka leo?
 
Sioni tofauti ya "muasi" na "gaidi"
 
Sioni tofauti ya "muasi" na "gaidi"
Muasi Ni mpiganaji kwa malengo ya maisha mazuri ya duniani hasa mamlaka ...
Hao waitwao magaidi hupigana lengo likiwa kwamba ikitokea wamekufa vitani bas wanakwenda peponi moja kwa moja
 
So unathibitisha kuwa ni imani inayokuwa hai kwa kafara za damu za watu?! Sasa wewe unatofauti gani na waabudu mawe...lahabith la hamal mkubwa wewe...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumbe bunduki nayo inachinja!! Nilikua sijui.

Poleni sana wakulima msio na hatia.
 
Si kwamba anawafinance.Mi naona ni raisi mjinga mjinga tu.Hafai kabisa kuongoza taifa kubwa na tajiri lenye wasomi kama Nigeria.Angepewa kisiwa kidogo akatawala.
Naunga mkono hoja buhari hawezi kufinance wajinga hao but ye Ni rais dhaifu Sana. Hana action za kiungozi licha ya kwamba aliwahi kuwa generali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…