Jamaa yangu nimemumiss alikufa kwa presha baada ya kutumbuliwa mwaka 2017, akafuatiwa na mkewe,badae mtoto wake akajinyonga mwaka 2019 kwa kukosa pesa za shule
Kwake ni karibu na home uwa napita naona nyumba imefungwa naogopa sana utawala ule.
Uwa najaribu kuvaa viatu vya ile familia Kama ukuguswa na Magufuli basi wewe sio wa Nchi hii.
Hakika uwa naogopa sana sana kuumiza mtu mimi binafsi haya maisha haya tupendane tu.
Najiuliza tu hawa ambao hawajifunzi yaliyomkuta Magufuli
Magufuli alikuwa sio wa kufa akiwa na miaka ile.