Waliooa au kuolewa kwa mahari ndogo, njoo tutete kidogo

Waliooa au kuolewa kwa mahari ndogo, njoo tutete kidogo

ndoa za namna hiyo zinapatikana kwa washika dini haswaaa, kuna jamaa yangu aliozeshwa tsh200 tena mke chombo.
Huwezi pata kwa wachumia tumbo hizo mahari. Wao wanataka wakuuzie matatizo kwa bei kubwa mno 🤣🤣🤣 wengine Mil.3 wengine zaidi!
 
2.5M tena hapo ni kwa mbinde wameshakataa 1.5 na wameshakataa 2 hadi 2.3m wamekataa kabisaaaaaa

Nikasema nyie shukuruni ni wakwe na baraka zenu mhm otherwise ninge mpiga mimba tu nimucohibitizing tu[emoji28][emoji28][emoji28]
 
😂😂 comments za huu Uzi zafurahisha kinomanoma
 
Mie nilimsaidi Baba Mkwe kujiunga Facebook ndio ikawa Maali yangu hiyo!!
..........!!!

Halafu kule Mtwara vijana wamebuni mtindo mpya unaitwa
*BaruaTomba* yaani unapeleka barua ukweni wakishakujua basi unakuwa unaenda kuchukua tu binti yule unakulaaa weee kisha mnamrudisha kwao kiuraiiini mwisho wa siku unapiga chini.

Hiyo ndio BaruaTomba
 
Mikoa yote ya kusini ndo huo utaratibu wao ujinga tyuuuh.
 
Back
Top Bottom