Waliooa wamasai tupeane changamoto na ubora wao

...nimeoa mmasai tangu 2012...ni wanawake bora kupata kutoka.
...mke wangu ni mzuri sana wa umbo,sura na tabia.-..hajakeketwa coz ni masai wa mjini.
Wakuu naomba kufahamu, hivi lengo kuu hasa la kuwakeketa ilikuwa ni nini?
 
Huwa hawavai Pichu na wanatabia za kukaa chini so michanga huingia kunako.. mida ya kula cha usiku unapuliza puliza michanga itoke ule goma...😉 Mnunulie Pichu za Kutosha
 
Hahahahaahaha aisee
 
Nataka kuoa mmasai naomba kujuzwa mambo kadhaa wawapo ndani ya ndoa
1. Wanaheshma
2. wanapenda kupendwa na kuheshimiwa
3. Wachapakazi/wajasiriamali wazuri
4. Wavumilivu
5. Wakarimu na wanaupendo sana lakini pia huamini kila mmasai ni ndugu yake; hivyo kama hupendi wageni wa kuja kujipumzisha nyumbani kwako fikiria vizuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…