BradFord93
JF-Expert Member
- Oct 11, 2017
- 917
- 2,217
Ngoja waje mkuu min -me Rayns Vincenzo Jr raraa reree PSL god and 100 others Django Doer Chizi Maarifa Half american Poor BrainKama mkeo anafanya kazi...
Majukumu ya ndani unaysimamia mwenyew vizuri
Jukumu la kodi pia unalisimamia wewe mwenyew vizuri
KUNA HAJA YA KUMPA HELA YA NAULI NA YA KULA AKIENDA KAZINI??
Nauli na hela ya kula kazini? halafu akipata mshahara nakuletea?Kama mkeo anafanya kazi...
Majukumu ya ndani unaysimamia mwenyew vizuri
Jukumu la kodi pia unalisimamia wewe mwenyew vizuri
KUNA HAJA YA KUMPA HELA YA NAULI NA YA KULA AKIENDA KAZINI??
Halafu huko kazini ànanunuliwa chakula na bebi wake!Kama mkeo anafanya kazi...
Majukumu ya ndani unaysimamia mwenyew vizuri
Jukumu la kodi pia unalisimamia wewe mwenyew vizuri
KUNA HAJA YA KUMPA HELA YA NAULI NA YA KULA AKIENDA KAZINI??
Hiyo IPO piaHalafu huko kazini ànanunuliwa chakula na bebi wake!
Hailetwi...!!dem anajenga huko kwaoNauli na hela ya kula kazini? halafu akipata mshahara nakuletea?
Yeah hiyo ni kweli...!!mwanamke akiwa na hela nyingi zisizo na kazi...huanza kugawaHAKUNA kama hawezi aache kazi simple!
Hao ndio wanawake wanaotafuta vijana wa kuwahonga hela na wanahonga tena kwa mbwe mbwe na bashasha
Mwambie anazingua kinomaaSituation iko hivi...huyo manzi ni shemeji yangu...wanapiga kazi wote k.koo....jamaa kila cku anampa elfu 5...na ujie hapo wanapanda gari moja so nauli mda mwingi analipa mwana....!!so jamaa mambo anaona hayakai sawa...leo nd kaamka kuniomba ushauri...na mimi roho yangu nnaijua nd maana nkalileta huku kwanza angalau npate vitu vya kuongezea
Kiufupi ni kuwa dem anajenga kwao ...!na mwana hata kiwanja haana
Hiyo ndoa tayari inaingia mgogoro mkubwa. Jamaa akianza kukaza tu inamaana familia nzima ya huyo mwanamke itakuja juu.Situation iko hivi...huyo manzi ni shemeji yangu...wanapiga kazi wote k.koo....jamaa kila cku anampa elfu 5...na ujie hapo wanapanda gari moja so nauli mda mwingi analipa mwana....!!so jamaa mambo anaona hayakai sawa...leo nd kaamka kuniomba ushauri...na mimi roho yangu nnaijua nd maana nkalileta huku kwanza angalau npate vitu vya kuongezea
Kiufupi ni kuwa dem anajenga kwao ...!na mwana hata kiwanja haana
AseeSituation iko hivi...huyo manzi ni shemeji yangu...wanapiga kazi wote k.koo....jamaa kila cku anampa elfu 5...na ujie hapo wanapanda gari moja so nauli mda mwingi analipa mwana....!!so jamaa mambo anaona hayakai sawa...leo nd kaamka kuniomba ushauri...na mimi roho yangu nnaijua nd maana nkalileta huku kwanza angalau npate vitu vya kuongezea
Kiufupi ni kuwa dem anajenga kwao ...!na mwana hata kiwanja haana
Ulioa kilaza mkuuSasa kama umeoa mwanamke na anafanya kazi, kodi unalipa wewe, mfanyakazi wa ndani unalipa wewe, vyakula unagharamia wewe! Sasa mke ulioa wa nini???? Raha ya mke kutunza familia , kulea watoto, na kuwa nyumbani muda wote! Nashukuru Mungu mke wangu ni wa nyumbani sijawahi kujuta! Maana kila kitu kinaenda vizuri ! Ila sijawahi kuwa muumini wa kuoa mfanyakazi kama mimi
Biblia ya wapi mkuuBiblia ilishatuambia
Mwanamke anayekaa nyumbani kutunza familia na kulea watoto na kusimamia majukumu yote ya familia ni jukumu la mwanamme kumtimizia mahitaji yake yote. Ila wale Wanawake wanaotoka kwenda makazini na kuachia mahouse girl majukumu ya nyumbani, wanatakiwa washiriki moja kwa moja kwenye maendeleo ya mafamilia kwa kuchangia kipato chao.
Nafikiri imebakia kwa wanaume/wanawake wachache ambao hawana maarifa, ndio wanafikiri mwananke akiwa na kazi hela zake ni zake peke yake?
Huyo jamaa yako,kama jambo dogo la kiasi hicho analiombea ushauri kwa mtu mwingine basi ana udhaifu wa hali ya juu sana,inaonekana ametawaliwa na huyo mwanamke,Situation iko hivi...huyo manzi ni shemeji yangu...wanapiga kazi wote k.koo....jamaa kila cku anampa elfu 5...na ujie hapo wanapanda gari moja so nauli mda mwingi analipa mwana....!!so jamaa mambo anaona hayakai sawa...leo nd kaamka kuniomba ushauri...na mimi roho yangu nnaijua nd maana nkalileta huku kwanza angalau npate vitu vya kuongezea
Kiufupi ni kuwa dem anajenga kwao ...!na mwana hata kiwanja haana