Waliooa wanawake wanaofanya kazi

Waliooa wanawake wanaofanya kazi

Sasa kama umeoa mwanamke na anafanya kazi, kodi unalipa wewe, mfanyakazi wa ndani unalipa wewe, vyakula unagharamia wewe! Sasa mke ulioa wa nini???? Raha ya mke kutunza familia , kulea watoto, na kuwa nyumbani muda wote! Nashukuru Mungu mke wangu ni wa nyumbani sijawahi kujuta! Maana kila kitu kinaenda vizuri ! Ila sijawahi kuwa muumini wa kuoa mfanyakazi kama mimi
 
Situation iko hivi...huyo manzi ni shemeji yangu...wanapiga kazi wote k.koo....jamaa kila cku anampa elfu 5...na ujie hapo wanapanda gari moja so nauli mda mwingi analipa mwana....!!so jamaa mambo anaona hayakai sawa...leo nd kaamka kuniomba ushauri...na mimi roho yangu nnaijua nd maana nkalileta huku kwanza angalau npate vitu vya kuongezea

Kiufupi ni kuwa dem anajenga kwao ...!na mwana hata kiwanja haana
 
Mwambie anazingua kinomaa
 
Biblia ilishatuambia
"Mwanamke anayekaa nyumbani kutunza familia na kulea watoto na kusimamia majukumu yote ya familia ni jukumu la mwanamme kumtimizia mahitaji yake yote"
Ina maana wale Wanawake wanaotoka kwenda makazini na kuachia mahouse girl majukumu ya nyumbani, wanatakiwa washiriki moja kwa moja kwenye maendeleo ya mafamilia kwa kuchangia kipato chao.
Nafikiri imebakia kwa wanaume/wanawake wachache ambao hawana maarifa, ndio wanafikiri mwanamke akiwa na kazi hela zake ni zake peke yake?
 
Situation iko hivi...huyo manzi ni shemeji yangu...wanapiga kazi wote k.koo....jamaa kila cku anampa elfu 5...na ujie hapo wanapanda gari moja so nauli mda mwingi analipa mwana....!!so jamaa mambo anaona hayakai sawa...leo nd kaamka kuniomba ushauri...na mimi roho yangu nnaijua nd maana nkalileta huku kwanza angalau npate vitu vya kuongezea

Kiufupi ni kuwa dem anajenga kwao ...!na mwana hata kiwanja haana
Hiyo ndoa tayari inaingia mgogoro mkubwa. Jamaa akianza kukaza tu inamaana familia nzima ya huyo mwanamke itakuja juu.
Alikosea toka mwanzo.
Chakufanya aanze kumrudisha kwenye mstali pole pole, akigeuka ghafla ndoa inavunjika.
 
Situation iko hivi...huyo manzi ni shemeji yangu...wanapiga kazi wote k.koo....jamaa kila cku anampa elfu 5...na ujie hapo wanapanda gari moja so nauli mda mwingi analipa mwana....!!so jamaa mambo anaona hayakai sawa...leo nd kaamka kuniomba ushauri...na mimi roho yangu nnaijua nd maana nkalileta huku kwanza angalau npate vitu vya kuongezea

Kiufupi ni kuwa dem anajenga kwao ...!na mwana hata kiwanja haana
Asee
 
Sasa kama umeoa mwanamke na anafanya kazi, kodi unalipa wewe, mfanyakazi wa ndani unalipa wewe, vyakula unagharamia wewe! Sasa mke ulioa wa nini???? Raha ya mke kutunza familia , kulea watoto, na kuwa nyumbani muda wote! Nashukuru Mungu mke wangu ni wa nyumbani sijawahi kujuta! Maana kila kitu kinaenda vizuri ! Ila sijawahi kuwa muumini wa kuoa mfanyakazi kama mimi
Ulioa kilaza mkuu
 
Biblia ilishatuambia
Mwanamke anayekaa nyumbani kutunza familia na kulea watoto na kusimamia majukumu yote ya familia ni jukumu la mwanamme kumtimizia mahitaji yake yote. Ila wale Wanawake wanaotoka kwenda makazini na kuachia mahouse girl majukumu ya nyumbani, wanatakiwa washiriki moja kwa moja kwenye maendeleo ya mafamilia kwa kuchangia kipato chao.
Nafikiri imebakia kwa wanaume/wanawake wachache ambao hawana maarifa, ndio wanafikiri mwananke akiwa na kazi hela zake ni zake peke yake?
Biblia ya wapi mkuu
 
yeye huyo mkeo mshahara wake unatumika kwenye nini? mimi ni mwanamke lakini siwez kufanya hio dhambi ningejitegemea nauli na mambo yangu personal ibakie kama ntakwama siku moja moja anisaidie baba chanja lakini sio hivo.
 
Situation iko hivi...huyo manzi ni shemeji yangu...wanapiga kazi wote k.koo....jamaa kila cku anampa elfu 5...na ujie hapo wanapanda gari moja so nauli mda mwingi analipa mwana....!!so jamaa mambo anaona hayakai sawa...leo nd kaamka kuniomba ushauri...na mimi roho yangu nnaijua nd maana nkalileta huku kwanza angalau npate vitu vya kuongezea

Kiufupi ni kuwa dem anajenga kwao ...!na mwana hata kiwanja haana
Huyo jamaa yako,kama jambo dogo la kiasi hicho analiombea ushauri kwa mtu mwingine basi ana udhaifu wa hali ya juu sana,inaonekana ametawaliwa na huyo mwanamke,

Pia wewe unatakiwa uache kujiingiza kwenye mahusiana ya watu,acha kua mshauri wa mahusiano ya watu,acha kuingilia mahusiano ya watu,
At the end wewe ndiye utaonekana mtu mbaya kwenye mahusiano yao,

Fanya mambo yako.
 
Back
Top Bottom