Waliooa wanawake wanaofanya kazi

.....wimbo wa Zamani..." Anajenga nyumba kwao,Mimi kwangu midabwada eeh"...unaijua midabwada?..ndiyo akili za rafiki yako.
.
 
Sasa anashindwa nini kuongea naye, mke umuoe kisha uwe mnyonge?
 
Huyo mwanaume kama si wewe ndiyo wale wanaume maisha yake na mkewe anasimulia ndugu ndiyo wanamuongoza maisha, panga na mkewe hawezi ila mama yake na dada zake, sasa huyo mkewe atamuongoza saangapi!
 
Huyo mwanaume kama si wewe ndiyo wale wanaume maisha yake na mkewe anasimulia ndugu ndiyo wanamuongoza maisha, panga na mkewe hawezi ila mama yake na dada zake, sasa huyo mkewe atamuongoza saangapi!
Anaogopa kumnyima mke wake nauli
 
duh!! sio mchezo binafsi siwez kujinyima wakat nna hela, kwanza hata hiyo pampers nisingeomba kwa Mr. angestukia tu fuko linaning'inia mimi hata chumvi kibiriti vitu vidogo vidogo hua namaliza mwenyewe.
 
Asilimia kubwa wanawake hufanya kazi za ukichaa, utakuta mshahara analipwa laki 6, ila gharama za nauoi na chakula kwa mwezi zinafika 900k, na anataka hizo laki 9 uwe unampa ili yeye aje kupokea mshahara wa laki 6 aje aseme anajitegemea.., nilikataa huo uwendawazimu.., no way..
 
Kama mkeo anafanya kazi...

Majukumu ya ndani unaysimamia mwenyewe vizuri.

Jukumu la kodi pia unalisimamia wewe mwenyewe vizuri.

KUNA HAJA YA KUMPA HELA YA NAULI NA YA KULA AKIENDA KAZINI?
Sasa si mnaelewana wenyewe, kama kila mtu anajihudimia mwenyewe au mnashirikiana 😁😁😁
 
Hii imekAaje
 
Mwanamke anachoweza ku offer ni papuchi tu,anaweza kuwa mfanyakazi tena mishahara yenu inalingana wewe utakwama kuendelea na ujenzi yeye yupo bize kumalizia nyumba ya mchungaji.
 
Mwanaume elewa ndoa sio Mutualism ni Parasitism mode na mwanamke ni Parasite na Mwanaume ndio Host
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…