Walioongoza mitihani ya Darasa la saba hawa hapa!

Walioongoza mitihani ya Darasa la saba hawa hapa!

Cheche Mtungi

JF-Expert Member
Joined
Nov 14, 2010
Posts
2,619
Reaction score
771
View attachment 78886

Wanafunzi walioongoza mtihani wa taifa wa darasa la saba wa mwaka 2012, Janeth Kijazi (kushoto) Justina Kalala (katikati)na Kellen Mudogo wakiwa shule ya sekondari ya wasichana, St Marian Bagamoyo, jana, walikoanza kidato cha kwanza
 
Hii NECTA ya Dr. Joyce Ndalichako INAPENDELEA. Mbona majina ni yale yale ya Wagalatia!
 
We vp,kama ndo waliofaulu afanyeje sasa,acha udini wewe na mtaishia hivyo,wenzenu wanasonga mbele.
 
Haya majina sitashangaa ndugu zangu kuanza kuandamana mama Ndalichako ajiuzuru!
big up madogo speed iwe iyo iyo!
 
Hii NECTA ya Dr. Joyce Ndalichako INAPENDELEA. Mbona majina ni yale yale ya Wagalatia!

Kuna siku makamu wa rais,alishaliongelea hili kwenye baraza la waislamu,kwamba masiwapeleke wototo wenu madrasa tu na kuanza kulalamika pasipo sababu,kutwa kwenye miadhara,mara ubungo,mwenge,manzese na sasa mmehamia mbagala,huku wezenu wanasoma,nyinyi mmebaki yesu yesu yesu,mara kafanya vile mara hivi.

Mtaendelea na ujinga wenu hivyo kutwa kulalamika tu kila kukicha.
 
Hahahaaa ile Programu ya OMR ilitengenezwa na Mgalatia bhana, sie hatuwezi kutengeneza such a thing labda mighomo, unafiki na mabomu ya kujilipua......
Hii NECTA ya Dr. Joyce Ndalichako INAPENDELEA. Mbona majina ni yale yale ya Wagalatia!
 
hata akijiuzulu kama wa mia utabaki wa mia huwezi kuwa elfu moja hata siku moja..
 
Hii NECTA ya Dr. Joyce Ndalichako INAPENDELEA. Mbona majina ni yale yale ya Wagalatia!

Tusiime na Marian wanapendelea wakristo, mbona sisi hatupo. Tutaandamana!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
safi sana

ni shule nzuri pia

wangekua kwetu Namabengo wangeambulia zile-zile zetu
 
View attachment 78886

Wanafunzi walioongoza mtihani wa taifa wa darasa la saba wa mwaka 2012, Janeth Kijazi (kushoto) Justina Kalala (katikati)na Kellen Mudogo wakiwa shule ya sekondari ya wasichana, St Marian Bagamoyo, jana, walikoanza kidato cha kwanza

Wanangu kaza kamba, Marian kuna ushindani mkubwa, msibweteke! Mapambano ndiyo yanaanza. Hapo huwa ni kufa na kupona. Nisalimie Fr. Bayo, tunampenda sana baba yetu!!!!!!!!!!!!!!
 
Hii NECTA ya Dr. Joyce Ndalichako INAPENDELEA. Mbona majina ni yale yale ya Wagalatia!

Kesho NI IJUMAA nendeni mkaandamane mkutane na virungu vya Alhaji KOVA na Maalimu MWEMA,Mtachapana wenyewe sisi tuko church tunakunywa DIVAI!
 
Je Marian ni shule ya vipaji ya serikali?
Je kama ni ya binafsi ni wazazi wao waliowapeleka huko kwa pamoja? na tunapata picha gani kwa shule za srikali?
Je hawa walisoma shule zipi za msingi?
 
Back
Top Bottom