Siyo nia mbaya bali kwa kuwakumbusha wanadamu kuwa "tuishi maisha humble" kwa kuwa hatujui siku wala saa ya kutwaliwa. Tuwataje waliopitia maamuzi mabovu ya Job NDUGAI alipokuwa Spika wa Bunge;:
1. Chilongani alipigwa fimbo akazimia kwenye kura za maoni za CCM mwaka 2015
2. John Mnyika (CHADEMA) alitolewa kama mbwa bungeni kwenye vikao vya 2015-20
View attachment 3434914
3. Kukataa kumlipia Tundu Lissu matibabu kisha kumnyang'anya ubunge wa Ikungi, mwaka 2017-19
4. Aliponda waalmu kugombea ubunge
View attachment 3434929
4. Kukataa kumlipia Tundu Lissu matibabu kisha kumnyang'anya ubunge wa Ikungi, mwaka 2017-19
View attachment 3434931
Ongeza na wewe unayoikumbuka
Alikuwa hana choice zaidi ya kupitisha, usimpe sifa asiyostahiliNdugai atakumbukwa kwa bunge lake akiwa spika lilipitisha na kutenga bajeti zote za miradi mikubwa ambayo nchi tunajivunia kwa sasa.
Kama bunge la Ndugai lingekataa ujenzi wa bwawa la umeme nchi ingekuwa gizani hadi leo, ujenzi wa SGR ambayo hadi masikini sasa wanatumia masaa 3 tu kutoka Dom -Dar.
Pia Ndugai alikataa waziwazi nchi yetu kuwa ombaomba.
Tumuache apumzike kwa amani. Maisha yetu kila mtu ana drama zakeSiyo nia mbaya bali kwa kuwakumbusha wanadamu kuwa "tuishi maisha humble" kwa kuwa hatujui siku wala saa ya kutwaliwa. Tuwataje waliopitia maamuzi mabovu ya Job NDUGAI alipokuwa Spika wa Bunge;:
1. Chilongani alipigwa fimbo akazimia kwenye kura za maoni za CCM mwaka 2015
2. John Mnyika (CHADEMA) alitolewa kama mbwa bungeni kwenye vikao vya 2015-20
View attachment 3434914
3. Kukataa kumlipia Tundu Lissu matibabu kisha kumnyang'anya ubunge wa Ikungi, mwaka 2017-19
4. Aliponda waalmu kugombea ubunge
View attachment 3434929
4. Kukataa kumlipia Tundu Lissu matibabu kisha kumnyang'anya ubunge wa Ikungi, mwaka 2017-19
View attachment 3434931
Ongeza na wewe unayoikumbuka
Siyo nia mbaya bali kwa kuwakumbusha wanadamu kuwa "tuishi maisha humble" kwa kuwa hatujui siku wala saa ya kutwaliwa. Tuwataje waliopitia maamuzi mabovu ya Job NDUGAI alipokuwa Spika wa Bunge;:
1. Chilongani alipigwa fimbo akazimia kwenye kura za maoni za CCM mwaka 2015
2. John Mnyika (CHADEMA) alitolewa kama mbwa bungeni kwenye vikao vya 2015-20
View attachment 3434914
3. Kukataa kumlipia Tundu Lissu matibabu kisha kumnyang'anya ubunge wa Ikungi, mwaka 2017-19
4. Aliponda waalmu kugombea ubunge
View attachment 3434929
4. Kukataa kumlipia Tundu Lissu matibabu kisha kumnyang'anya ubunge wa Ikungi, mwaka 2017-19
View attachment 3434931
Ongeza na wewe unayoikumbuka
Upo sahihi mkuu.Hiyo kazi ya mazuri ya Ndugai fungua wewe. Mimi sijawahi kuyaona