Stuxnet
JF-Expert Member
- Feb 12, 2011
- 18,875
- 29,427
- Thread starter
- #61
Itauzwa lini? Maana toka 2022 mnasema itauzwaMimi kwangu nikamkumbuka kwa kauli yake ya "Mama juzi ameenda tena nje kukopa 1.5 trillion. Kipi ni bora tubanane haka hapa nchini ili tupate hela au twende tukachukue ma mikopo yasiyoeleweka? Sisi kama Taifa tutafanya vya kwetu lini? Nchi itauzwa hii!