Walioonja shubiri ya maamuzi mabaya ya Hayati Ndugai, kama una clip pandisha hapa

Walioonja shubiri ya maamuzi mabaya ya Hayati Ndugai, kama una clip pandisha hapa

Ndugai atakumbukwa kwa bunge lake akiwa spika lilipitisha na kutenga bajeti zote za miradi mikubwa ambayo nchi tunajivunia kwa sasa.
Kama bunge la Ndugai lingekataa ujenzi wa bwawa la umeme nchi ingekuwa gizani hadi leo, ujenzi wa SGR ambayo hadi masikini sasa wanatumia masaa 3 tu kutoka Dom -Dar.
Pia Ndugai alikataa waziwazi nchi yetu kuwa ombaomba.
Hivi ht ungekuwa wewe, Magu keshasema pitisha ungefanyeje by that time
 
Sote hatupo wakamilifu, lau kungekuwa na vitu vinavyo chukua moja kwa moja matendo yetu katika shuguli zetu hakuna hata mmoja angedhubutu kumyooshea kidole yoyote baina yetu ikiwa ni pamoja na ndugai.
 
Biblia inasema
Siyo nia mbaya bali kwa kuwakumbusha wanadamu kuwa "tuishi maisha humble" kwa kuwa hatujui siku wala saa ya kutwaliwa. Tuwataje waliopitia maamuzi mabovu ya Job NDUGAI alipokuwa Spika wa Bunge;:

1. Chilongani alipigwa fimbo akazimia kwenye kura za maoni za CCM mwaka 2015

2. John Mnyika (CHADEMA) alitolewa kama mbwa bungeni kwenye vikao vya 2015-20

View attachment 3434914
3. Kukataa kumlipia Tundu Lissu matibabu kisha kumnyang'anya ubunge wa Ikungi, mwaka 2017-19

4. Aliponda waalmu kugombea ubunge
View attachment 3434929
4. Kukataa kumlipia Tundu Lissu matibabu kisha kumnyang'anya ubunge wa Ikungi, mwaka 2017-19
View attachment 3434931

Ongeza na wewe unayoikumbuka
Imeandikwav ktk biblia dhambi za watu wengine zi dhahili zawatangilia
Kwenda hukumuni, Unapopewa cheo chochote tambua umepewa na Mungu tenda mema ili iwe kumbukumbu njema hata ufapo na utapewa thawabu na mbele za Mungu.
 
mkumbukee na mema yake pia
Yako wapi? Yule marehemu alikuwa ni afisa wanyamapori. Alivyokuwa ana deal na wwbunge wa upinzani ilikuwa kama ana deal na wanyama
 
Nzi ana bidii ya kuhamisha vimelea vya ugonjwa kutoka sehemu moja kwenda nyingine. Nyuki ana bidii ya kukusanya poleni kutengeneza asali. Uchaguzi ni wako kuwa Nyuki au kuwa Nzi."
 
Sote hatupo wakamilifu, lau kungekuwa na vitu vinavyo chukua moja kwa moja matendo yetu katika shuguli zetu hakuna hata mmoja angedhubutu kumyooshea kidole yoyote baina yetu ikiwa ni pamoja na ndugai.
Huo ni mtazamo wa kusamehe bila kukumbuka madhila. Job Ndugai akiwa Spika alitumia mamlaka kwa ukatili—alimnyima Tundu Lissu haki zake za msingi, akafuta ubunge wake na kukataa kumlipia matibabu. Kumbukeni historia kabla ya kuisafisha kwa maneno ya huruma zisizo na mizani.
 
Kaomba msamaha kwa bungee na wananchi

Hii kuipata wewe ngumu
Hilo sasa la kiomba msamaha ndiyo jema? Watu wanafanya makosa mpaka wanaua wenzao kwa ajili ya kujipendekeza kwa watawala, eti kwa vile iko siku watakuja kuomba msamaha!! Hii ni argument mfu
 
Back
Top Bottom