Hivi ht ungekuwa wewe, Magu keshasema pitisha ungefanyeje by that timeNdugai atakumbukwa kwa bunge lake akiwa spika lilipitisha na kutenga bajeti zote za miradi mikubwa ambayo nchi tunajivunia kwa sasa.
Kama bunge la Ndugai lingekataa ujenzi wa bwawa la umeme nchi ingekuwa gizani hadi leo, ujenzi wa SGR ambayo hadi masikini sasa wanatumia masaa 3 tu kutoka Dom -Dar.
Pia Ndugai alikataa waziwazi nchi yetu kuwa ombaomba.
Huwezi mpa mfuasi wa shetani sifa.Kila binadamu ana mazuri yake na weakness zake
Alimfuta Tundu Lissu na kutangaza kuwa jimbo liko waziTumuache apumzike kwa amani. Maisha yetu kila mtu ana drama zake
Taja jema moja tu la Ndugai,mkumbukee na mema yake pia
Hii ilinisikitisha sana7. Prof Mussa AssadView attachment 3434943
Msiba wa naniAcha kelele msibani
Kaomba msamaha kwa bungee na wananchiTaja jema moja tu la Ndugai,
Imeandikwav ktk biblia dhambi za watu wengine zi dhahili zawatangiliaSiyo nia mbaya bali kwa kuwakumbusha wanadamu kuwa "tuishi maisha humble" kwa kuwa hatujui siku wala saa ya kutwaliwa. Tuwataje waliopitia maamuzi mabovu ya Job NDUGAI alipokuwa Spika wa Bunge;:
1. Chilongani alipigwa fimbo akazimia kwenye kura za maoni za CCM mwaka 2015
2. John Mnyika (CHADEMA) alitolewa kama mbwa bungeni kwenye vikao vya 2015-20
View attachment 3434914
3. Kukataa kumlipia Tundu Lissu matibabu kisha kumnyang'anya ubunge wa Ikungi, mwaka 2017-19
4. Aliponda waalmu kugombea ubunge
View attachment 3434929
4. Kukataa kumlipia Tundu Lissu matibabu kisha kumnyang'anya ubunge wa Ikungi, mwaka 2017-19
View attachment 3434931
Ongeza na wewe unayoikumbuka
Huo ni mtazamo wa kusamehe bila kukumbuka madhila. Job Ndugai akiwa Spika alitumia mamlaka kwa ukatili—alimnyima Tundu Lissu haki zake za msingi, akafuta ubunge wake na kukataa kumlipia matibabu. Kumbukeni historia kabla ya kuisafisha kwa maneno ya huruma zisizo na mizani.Sote hatupo wakamilifu, lau kungekuwa na vitu vinavyo chukua moja kwa moja matendo yetu katika shuguli zetu hakuna hata mmoja angedhubutu kumyooshea kidole yoyote baina yetu ikiwa ni pamoja na ndugai.
Hilo sasa la kiomba msamaha ndiyo jema? Watu wanafanya makosa mpaka wanaua wenzao kwa ajili ya kujipendekeza kwa watawala, eti kwa vile iko siku watakuja kuomba msamaha!! Hii ni argument mfuKaomba msamaha kwa bungee na wananchi
Hii kuipata wewe ngumu
Pascal Mayalla unaitwa huku, uzi unakuhusu
View: https://x.com/bunge_tz/status/986608792937824257?t=f-CMk5Rl60tXivixSyRBQA&s=19
Kabla hajalamba asali na kugeuka mnafiki.