Walioonja shubiri ya maamuzi mabaya ya Hayati Ndugai, kama una clip pandisha hapa

Naomba ziambatane pamoja na za bibi mweusi.
 
Nadhani hatutokua tunamtendea haki Kwa kuyamulikia mwanga mabaya yake tu na kujifanya mema hatuyaoni ...hakuna mkamilifu... Tuangalie pande zote mbili za sarafu.
 
Nadhani hatutokua tunamtendea haki Kwa kuyamulikia mwanga mabaya yake tu na kujifanya mema hatuyaoni ...hakuna mkamilifu... Tuangalie pande zote mbili za sarafu.
Ni kwallengo la kujifunza na kuwafunza wafanyao yafananayo na kuona ni sawa kwa kuwa madaraka na kinga zake wanazo.
 
Miradi gani ambayo tunajivunia na ina tija gani kwa Tanzania ya leo?
 
Upo sahihi mkuu.

N kawaida kuona mabaya kuliko mazuri, ipo hvy kwa watu wote.

Utatenda 99 mazuri na baya moja, ila hilo baya litafuta mazuri yote.

Hvy sikushangai.

💪
Hakuna zuri alilotenda Ndugai kikubwa ni kutengeneza uchawa na kuacha wanawake na wazanzibar watutawale.
 
Mimi kwangu nikamkumbuka kwa kauli yake ya "Mama juzi ameenda tena nje kukopa 1.5 trillion. Kipi ni bora tubanane haka hapa nchini ili tupate hela au twende tukachukue ma mikopo yasiyoeleweka? Sisi kama Taifa tutafanya vya kwetu lini? Nchi itauzwa hii!
 
Kumpunzisha kwa amani siyo kazi yetu. Kazi yetu ni kuaninisha makosa yake ili wengine wanaokamata madaraka kama hayo wasifanye makosa

Hayo tutayasema. Ikibidi tuyaandike kama mafunzo. Ila amesha go.

Hana analoweza kulifanya. Tumpepee alale unono.

Hata mimi sijawahi kuelewa zile billions za hospital India alizitumiaje
 
Upo sahihi mkuu.

N kawaida kuona mabaya kuliko mazuri, ipo hvy kwa watu wote.

Utatenda 99 mazuri na baya moja, ila hilo baya litafuta mazuri yote.

Hvy sikushangai.

💪
Taja mazuri ya ndugai ule kibunda iko acha maneno...
 
Hivi ht ungekuwa wewe, Magu keshasema pitisha ungefanyeje by that time
Huo ndo ulikua wakat mzuri wa yeye kujiuzuru sasa, si anaiweza hiyo maamuzi?
Hawa Team Jiwe ni washenzi sana wakiwa na nguvu afu saivi wanataka wajitie uzarendo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…