Walioonja shubiri ya maamuzi mabaya ya Hayati Ndugai, kama una clip pandisha hapa

Itauzwa lini? Maana toka 2022 mnasema itauzwa
 
Bongo ukifa wanatafuta MABAYA yako...mambo yamekua vice versa siku hizi

Hawana muda na mema na mazuri uliyotenda wanatafuta hata kaam ni moja watalisimamia hilo hilo 1.

wajomba niwambieni hiyo tabia ni mbaya na mkumbuke na nyie sio malaika mtaondoka yatawakuta japo hamtokuepo ila vizazi vyenu vitaona dhihaka mtazoonyeshwa.

NDUGAI was not perfect as we all... Ndugai katimiza wajibu wake Duniani.

The rest tumwachie Mungu..Binafsi Ndugai alikua kiongozi sahihi kwa taifa hili bila kujali eneo alilokuepo.

Makosa yote na mabaya yote mnayoyaleta ni ya kikazi, sijaona hata moja la nnje ya kazi yake. Hii maana yake NDUGAI alikua safi na poa kwa jamiii yake.

Mtu asiependa matani na ujinga kazini ndio mana mnafululiza ma clip akiwa katika kazi na kutimiza wajibu wake.

Rest in Peace Father..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…