Waliopanda ndege ya Mama kwenda Algeria ni mashabaiki wa Yanga SC au wavaa suti tu wanaokwenda kutalii na kupiga selfie?

Waliopanda ndege ya Mama kwenda Algeria ni mashabaiki wa Yanga SC au wavaa suti tu wanaokwenda kutalii na kupiga selfie?

1. Sijamwona shabiki maarufu Mzee mpili akipanda ndege

2. Sijamwona shabiki wa JASHO na damu Jeshi la mtu mmoja MZEE WA UTOPOLO akipanda ndege

3. Sijamwona Mzee wa vigelegele akipanda ndege

4. Sijamwona mboto mbotinyo akipanda ndege

5. Sijamwona mtanga comedy akipanda ndege

6. Sijamwona Mzee Senga comedy akipanda ndege

7. Sijamwona yule jamaa wa kitambi bandia na kujipaka masizi akipanda ndege

Hawa ndio nawajua mashabiki wafia timu kutoka miaka dahar.
Na ndo walipaswa waende hukoo
 
Back
Top Bottom