Waliopangiwa mwalimu wa somo la biashara daraja III C wilaya ya Sengerema naombeni mnipe highlight kidogo

Waliopangiwa mwalimu wa somo la biashara daraja III C wilaya ya Sengerema naombeni mnipe highlight kidogo

Samatin

New Member
Joined
Sep 25, 2022
Posts
1
Reaction score
0
Kwa waliopangiwa mwalimu wa somo la biashara daraja III C wilaya ya sengerema naombeni mnipe highlight kidogo naenda kuripoti next week 🙏
 
Jiandae uwe na pesa ya kurudia nyumbani kwenu ulipotoka maana ukisharipoti watakupiga kalenda urudi nyumbani mpaka watakapokujulisha baada ya kukamilisha ajira yako.
 
Back
Top Bottom