Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe unauliza!!!!naulizia kama kunauwezekano mkubwa wa wanafunzi walo pata daraja la division 4 ya 26 na 27 kwa mwaka 2012 kwenda advanse??
Kama kuna dondo kuhusu hilo naomba ufafanuzi kupitia
(0767980086) kwa njia ya txt messege.
All the best buddies??
Acha upumbavu wewe mtoa mada, umeona wapi division 4 wanaenda A-level? Nyie nendeni mkachunge mbuzi huko sio lazima wote wasome, nani atabeba maboksi yetu kama sio nyinyi mliokuwa mnacheza badala ya kusoma mkiwa shule?
naulizia kama kunauwezekano mkubwa wa wanafunzi walo pata daraja la division 4 ya 26 na 27 kwa mwaka 2012 kwenda advanse??
Kama kuna dondo kuhusu hilo naomba ufafanuzi kupitia
(0767980086) kwa njia ya txt messege.
All the best buddies??
kjana bill gates.steve jobs,mark zuckernburg bakhresa waliacha shule kwenda kuendeleza kampuni zao shule unaenanda kupata cheti maarifa yapo kwenye vitabu.Nenda college ukasomee unachotaka achana na a-level ,uganda D Wanaenda a-level makerere wametengeneza gari ud nn?
Acha kupenda short cut mpendwa katika bwana, coz vp kuhusu credit? inamaana na wanafunzi pia wa shule za serikali warisit hapo haitakuwa fea kwa elimu yetu, we jipange kama vp utafute vyuo au laa uwahi ukalipie mtihani kama nawe ni muhanga ili urudie mitihani.