waliopata 26 up to 27 wataenda ADVANCE KWA MWAKA 2012

Nokia3D

Member
Joined
Feb 2, 2013
Posts
74
Reaction score
1
naulizia kama kunauwezekano mkubwa wa wanafunzi walo pata daraja la division 4 ya 26 na 27 kwa mwaka 2012 kwenda advanse??
Kama kuna dondo kuhusu hilo naomba ufafanuzi kupitia
(0767980086) kwa njia ya txt messege.
All the best buddies??
 
Acha kupenda short cut mpendwa katika bwana, coz vp kuhusu credit? inamaana na wanafunzi pia wa shule za serikali warisit hapo haitakuwa fea kwa elimu yetu, we jipange kama vp utafute vyuo au laa uwahi ukalipie mtihani kama nawe ni muhanga ili urudie mitihani.
 
Kumbe unauliza!!!!
 
Iyo kitu sahau,labda depo bt advance labda siku nyingine lakini sio leo
 
Acha upumbavu wewe mtoa mada, umeona wapi division 4 wanaenda A-level? Nyie nendeni mkachunge mbuzi huko sio lazima wote wasome, nani atabeba maboksi yetu kama sio nyinyi mliokuwa mnacheza badala ya kusoma mkiwa shule?
 
Juzi tulikuwa na kikao na Mama Tibaijuka alisema kuwa wapo kwenye mchakato wa kuomba wenye CC waende advance sabab eti kuna hatar shule za serikal kukosa wanafunzi wa kidato cha5 mwakan...ngoja tuone!
 
Labda serikali inaweza kuwafikiria wenye cc kuenda advance ila sio wenye c moja
 
Njia ya kusolve hili swala inabidi serkali ichukue wanafunzi wenye CC waende advance lakin sio kusema div4 ya 26 na 27 tu bali lazima vigezo hivyo juu vizingatiwe.
 
ndo hivo, na si vinginevyo coz ukisema dv 4 ya 26 na 27 je kama mtu ana c ya civics na bios atasoma nn?
 
acha ujinga unapenda math ambayo una D halafu una CC za hist na kisw ambazo huna ndoto nazo kisa unataka kwenda advance!! Labda DDD kwa mara ya kwanza
 
Acha upumbavu wewe mtoa mada, umeona wapi division 4 wanaenda A-level? Nyie nendeni mkachunge mbuzi huko sio lazima wote wasome, nani atabeba maboksi yetu kama sio nyinyi mliokuwa mnacheza badala ya kusoma mkiwa shule?

kjana bill gates.steve jobs,mark zuckernburg bakhresa waliacha shule kwenda kuendeleza kampuni zao shule unaenanda kupata cheti maarifa yapo kwenye vitabu.Nenda college ukasomee unachotaka achana na a-level ,uganda D Wanaenda a-level makerere wametengeneza gari ud nn?
 
naulizia kama kunauwezekano mkubwa wa wanafunzi walo pata daraja la division 4 ya 26 na 27 kwa mwaka 2012 kwenda advanse??
Kama kuna dondo kuhusu hilo naomba ufafanuzi kupitia
(0767980086) kwa njia ya txt messege.
All the best buddies??

Mkuu hapo labda Mulugo aseme, vinginevyo anza kutafuta plan B.
 
thankx all.mawazo yenu ntayafanyia kazi.mimi nina dv 3 ya 22 ila sinampango wa kuendelea advansi.
 
kjana bill gates.steve jobs,mark zuckernburg bakhresa waliacha shule kwenda kuendeleza kampuni zao shule unaenanda kupata cheti maarifa yapo kwenye vitabu.Nenda college ukasomee unachotaka achana na a-level ,uganda D Wanaenda a-level makerere wametengeneza gari ud nn?

Mbululaaaaaa
 
Acha kupenda short cut mpendwa katika bwana, coz vp kuhusu credit? inamaana na wanafunzi pia wa shule za serikali warisit hapo haitakuwa fea kwa elimu yetu, we jipange kama vp utafute vyuo au laa uwahi ukalipie mtihani kama nawe ni muhanga ili urudie mitihani.

Mmmh, mzoea vya kunyonga!!!!!
 
Kichwa cha habari ni kama ulishatoa jibu la uhakika kumbe unauliza swali. Subiri kama wizara itakiuka taratibu zake. Nchi hii yunaishi kwa miongozo toka kwa wanasiasa. Lolote linawezekana.
 
Back
Top Bottom