waongo,, hao. Wandanganya donor wakati dawa wanazitupa
Tatizo la kukaa mijini ! Nasikia vijijini watu wengi wamechanja na hiki ni kitu kizuri. Kama wanatupa ni tatizo la ununuzi maana hizi chanjo zinatakiwa kukaa mpaka miaka 2-3
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
waongo,, hao. Wandanganya donor wakati dawa wanazitupa
Unabisha au unahoja? Njoo wilaya ya Geita ufuatilie kama nilichoandika ni uongo.Siyo kweli ...watu wamegoma chanjo huo ndiyo ukweli hata vijijini