#COVID19 Waliopata chanjo ya UVIKO-19 Tanzania wafikia milioni 11

waongo,, hao. Wandanganya donor wakati dawa wanazitupa

Tatizo la kukaa mijini ! Nasikia vijijini watu wengi wamechanja na hiki ni kitu kizuri. Kama wanatupa ni tatizo la ununuzi maana hizi chanjo zinatakiwa kukaa mpaka miaka 2-3
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…