MpiganajiWetu
Senior Member
- Dec 20, 2012
- 107
- 20
wala wasijidanganye taratibu za baraza na wizara ni zilezile.
Not all the time. Ki_memo kikishatumwa wenyewe mapemaa...wanalegeza. Hii ni bongo yenye maajabu mengi zaidi ya 7 ya dunia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wala wasijidanganye taratibu za baraza na wizara ni zilezile.
wala wasijidanganye taratibu za baraza na wizara ni zilezile.
kweli itasidia hii mkuu?lakini sijui uko mbele itakuwaje maana elimu ya bongo kichefu chefu kitupuLakin nadhan hii itakuwa ndiyo njia the best ktk kufidia nafasi za wanafunzi, Lakin wasiishie tu kufanya hivi bali inabidi sasa wawahakikishie mazingira bora hao wanafunzi ili wasije kutia tena aibu huko mbeleni,
Wanajamii kuna maneno yanasikika huku uraiani eti wale waliopata div 4 za 26 na 27 na wana C mbili huenda serikali ikawapeleka advance sababu ya watu waliofaulu ni wachache.eti hili linaendana na ukweli jamani?

nchi yetu imejaa ujinga kweli. sasa wenye four wanaenda a level ambayo walimu huko nao ni wa uhaba mkubwa na vifaa vya kusomea shida. tunatengeneza taifa gani?
kwa hiyo safari hii kozi za ualimu wataenda wenye division four ya 30?
huo ni uongo m2pu b'se mulugo alishasema kuwa waliopata div 26&27 wataenda ualimu af waliopata div 1,2$3 wataenda advance,kwhyo ucwape ma2main kuwa advance ni kwepes hv
Kwa maana hiyo. ualimu ni kada ya walio feli? Miaka michache ijayo tutakuwa na walimu zaidi ya 50% walifeli. mhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh tutatengeneza MILUGO MINGAPI HAPA.:tape2:
Ni kweli kabisaNaiangalia Tz ya miaka10 mbele nnayoyaona ni maajabu ya dunia 2.