Waliopata div 4 za mwanzo 26 na 27 kwenda a-level

Waliopata div 4 za mwanzo 26 na 27 kwenda a-level

Lakin nadhan hii itakuwa ndiyo njia the best ktk kufidia nafasi za wanafunzi, Lakin wasiishie tu kufanya hivi bali inabidi sasa wawahakikishie mazingira bora hao wanafunzi ili wasije kutia tena aibu huko mbeleni,
 
kweli itasidia hii mkuu?lakini sijui uko mbele itakuwaje maana elimu ya bongo kichefu chefu kitupu
 
Wanajamii kuna maneno yanasikika huku uraiani eti wale waliopata div 4 za 26 na 27 na wana C mbili huenda serikali ikawapeleka advance sababu ya watu waliofaulu ni wachache.eti hili linaendana na ukweli jamani?

Kwani Mwanaasha Jakaya Kikwete si kapata almost zero mbona yuko A-level,kwa Tanzania inawezekana sana tu wala sio kitu cha ajabu si mnaona Nape Moses Nnauye alipata Div 4 ya 29 lakini alipata degree Mzumbe so hapo bado tu mnataka discusion.Burembo na Ccm yao wameridhika hata kasema Kawambwa na Mulugo hawawezi kujiuzulu hata kwa maandamano so hapo jibu ni kwamba Ccm wameridhika
 
Wanajamii kuna maneno yanasikika huku uraiani eti wale waliopata div 4 za 26 na 27 na wana C mbili huenda serikali ikawapeleka advance sababu ya watu waliofaulu ni wachache.eti hili linaendana na ukweli jamani?

yaani we mtu mzima unaleta hoja ambayo hajathibitishwa kweli we waajabu acha utoto wako huu.
 
nchi yetu imejaa ujinga kweli. sasa wenye four wanaenda a level ambayo walimu huko nao ni wa uhaba mkubwa na vifaa vya kusomea shida. tunatengeneza taifa gani?
kwa hiyo safari hii kozi za ualimu wataenda wenye division four ya 30?

Tanzania Tanzania, nakupenda kwa moyo wote,
Nchi yangu Tanzania, nakupenda kwa moyo wote,
Elimu ya kutumia lugha ya Kiiengreza inaanzia form one, wakati tayari watoto wamekuwa wakubwa, mitihani ni yakiingereza, watoto wakifeli sababu ya kingereza, wanaalaumiwa, wakati wakosaji ni wanasiasa wanao tanguliza watoto wao, wanao soma bunge primary na Olimpio kwa kiingereza ili wao waje kufauli kirahisi inauma sana.
Leo walofeli ni wengi, sasa tutafanya nn? 2waache wenye uwezo wawapeleke watoto wao form 5 kirahi sababu ya kujua lugha lkn watoto wa makabwela tukae na watoto wetu tulie tuchoke,
Ndo maisha haya.
Inauma sana.
 
Kwani haiwezekani mtu mwenye 4 ya pts 26 kuwa na C tatu tena za combination? Kama sikosei wakati nilishawahi muona binti kidato cha tano mchepuo wa PCB akiwa na div four shule ya serikali, ilikuwa mwanzoni mwa miaka ya 2000 hivi! So nadhani inawezekana lakini wakidhi vigezo!
 
huo ni uongo m2pu b'se mulugo alishasema kuwa waliopata div 26&27 wataenda ualimu af waliopata div 1,2$3 wataenda advance,kwhyo ucwape ma2main kuwa advance ni kwepes hv

Kwa maana hiyo. ualimu ni kada ya walio feli? Miaka michache ijayo tutakuwa na walimu zaidi ya 50% walifeli. mhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh tutatengeneza MILUGO MINGAPI HAPA.:tape2:
 
Kwa maana hiyo. ualimu ni kada ya walio feli? Miaka michache ijayo tutakuwa na walimu zaidi ya 50% walifeli. mhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh tutatengeneza MILUGO MINGAPI HAPA.:tape2:

Jamaa umenivunja mbavu,MILUGO mingapi?kwi kwi kwi kwi!
 
Hii si ya kweli,lakini inawezekana kwa sababu hata shule nyingi za private huwa zinapokea wanafunzi wengi wenye C tatu na four za mwanzo na huruhusiwa kufanya ACSEE na NECTA.Inawezekana kabisa mkuu,japo mmmmmmmmmh!
 
mwaka jana nilikua nafukuzia ualimu na dvn yangu ya point 27 nikakosa hivi mwaka huu nitapata wakuu?

:leave me alone:
 
Back
Top Bottom