Na Mimi hapa ndipo huwa naogopa na kuchanganyikiwa kabisa. Nilishawahi kukaa ICU 10 days na ni Karudi tena dunianiNikiwaza kuna siku nitakufa ndio nachanganyikiwa kabisa!
Kidato cha nne tu inatosha , unapigwa kozi fupi ya mortuary science , basic anatomy , infection prevention and control , unazama mzigoni.Ni elimu gani inahitajika kwa ajili ya hiyo kazi?
Tatizo lako lilianzia hapo MOCHWARI.Nadhani kufanya kazi mochwari kuliniathiri sana.. Nilikuwa siogopi picha za kutisha.. Nilikiwa siogopi damu
Nilikuwa Niki post picha za kutisha halafu watu wakaogopa nilikuwa nawashangaa sana! Ila kwa kuheshimu hisia zao wakiniomba kuzifuta nilikuwa nafanya hivyo!
Unamaanisha atumie janiUtumiwe cha Kisimiri ama donyo sambu ustue?
,Nadhani kufanya kazi mochwari kuliniathiri sana.. Nilikuwa siogopi picha za kutisha.. Nilikiwa siogopi damu
Nilikuwa Niki post picha za kutisha halafu watu wakaogopa nilikuwa nawashangaa sana! Ila kwa kuheshimu hisia zao wakiniomba kuzifuta nilikuwa nafanya hivyo!
Sasa kuna hii hali inaniogopesha sana! Ule moyo mgumu wa kutoogopa chochote umetoweka kabisa..!
Nimekuwa mtu wa kuogopa chochote kinachoumiza moyo na kugusa hisia.. Nimekuwa mtu wa kuogopa kifo na wafu😭
Ninakwepa sana simulizi za kuvunja moyo na kuumiza hisia
Hii hali imenianza bada ya mauaji ya MO 29 na naamini siko peke yangu.. Zile shuhuda za wahanga nilizobahatika kuziona zinanipa shida sana usiku! Halafu nikiwaza kuna siku nitakufa ndio nachanganyikiwa kabisa!
Je kuna wengine wanakumbana na hii hali!? Kitaalam inaitwaje?
Wale wahanga waliosema wanakiwasha au sio haoNadhani kufanya kazi mochwari kuliniathiri sana.. Nilikuwa siogopi picha za kutisha.. Nilikiwa siogopi damu
Nilikuwa Niki post picha za kutisha halafu watu wakaogopa nilikuwa nawashangaa sana! Ila kwa kuheshimu hisia zao wakiniomba kuzifuta nilikuwa nafanya hivyo!
Sasa kuna hii hali inaniogopesha sana! Ule moyo mgumu wa kutoogopa chochote umetoweka kabisa..!
Nimekuwa mtu wa kuogopa chochote kinachoumiza moyo na kugusa hisia.. Nimekuwa mtu wa kuogopa kifo na wafu😭
Ninakwepa sana simulizi za kuvunja moyo na kuumiza hisia
Hii hali imenianza bada ya mauaji ya MO 29 na naamini siko peke yangu.. Zile shuhuda za wahanga nilizobahatika kuziona zinanipa shida sana usiku! Halafu nikiwaza kuna siku nitakufa ndio nachanganyikiwa kabisa!
Je kuna wengine wanakumbana na hii hali!? Kitaalam inaitwaje?
Thanatophobia?Nadhani kufanya kazi mochwari kuliniathiri sana.. Nilikuwa siogopi picha za kutisha.. Nilikiwa siogopi damu