Waliopatwa na hii hali karibuni tufarijiane

Waliopatwa na hii hali karibuni tufarijiane

Kwanza pokea heshima Yako kwa kufanyakazi hiyo! Ni moja ya kazi ya Takatifu ya kumtumikia Mungu kuliko unavyofikiri.
Ni Kazi ya Wito! Wito wa Mungu mwenyewe.
Kinachokupa shida ni Hofu ya Mauti.
Lakini Mungu mwenyewe aliyekupa hiyo kazi atakupa uwezo wa Kuishinda Hofu ya Mauti.
 
Ila sheee mambo gani haya usiku wote huu🙆‍♂️🙆‍♂️
Basi nikajua huogopi shee😀
Mistwrought.jpeg
 
Hii kazi inayo pesa hatari , hasa ukipata ukanda wa kaskazini hasa moshi wafiwa wa Marehemu kila siku lazima wakuache na kama laki 2 zako za ziada tu.
Sio ukanda huo sehemu nyingi hii kazi ina hela ila zaidi kuna mpaka hela za mambo ya ajabu ajabu mara maji ya maiti ,vipande vya nguo za maiti na mengineyo .
Zaidi ya yote ni kazi ngumu inatomtaka mtu aliye na moyo mgumu na wito mkuu .
 
Kwanza pokea heshima Yako kwa kufanyakazi hiyo! Ni moja ya kazi ya Takatifu ya kumtumikia Mungu kuliko unavyofikiri.
Ni Kazi ya Wito! Wito wa Mungu mwenyewe.
Kinachokupa shida ni Hofu ya Mauti.
Lakini Mungu mwenyewe aliyekupa hiyo kazi atakupa uwezo wa Kuishinda Hofu ya Mauti.
🙏🏿🙏🏿🙏🏿

Post in thread 'Sanaa ya kifo' Sanaa ya kifo
 
Sio ukanda huo sehemu nyingi hii kazi ina hela ila zaidi kuna mpaka hela za mambo ya ajabu ajabu mara maji ya maiti ,vipande vya nguo za maiti na mengineyo .
Zaidi ya yote ni kazi ngumu inatomtaka mtu aliye na moyo mgumu na wito mkuu .
Morgue attendant ni kazi yenye pesa sana lakini hazina baraka usipozingatia miiko na heshima kwa wafu!
 
Mshana bana
 
Nadhani kufanya kazi mochwari kuliniathiri sana.. Nilikuwa siogopi picha za kutisha.. Nilikiwa siogopi damu
Nilikuwa Niki post picha za kutisha halafu watu wakaogopa nilikuwa nawashangaa sana! Ila kwa kuheshimu hisia zao wakiniomba kuzifuta nilikuwa nafanya hivyo!

Sasa kuna hii hali inaniogopesha sana! Ule moyo mgumu wa kutoogopa chochote umetoweka kabisa..!

Nimekuwa mtu wa kuogopa chochote kinachoumiza moyo na kugusa hisia.. Nimekuwa mtu wa kuogopa kifo na wafu😭

Ninakwepa sana simulizi za kuvunja moyo na kuumiza hisia

Hii hali imenianza bada ya mauaji ya MO 29 na naamini siko peke yangu.. Zile shuhuda za wahanga nilizobahatika kuziona zinanipa shida sana usiku! Halafu nikiwaza kuna siku nitakufa ndio nachanganyikiwa kabisa!
Je kuna wengine wanakumbana na hii hali!? Kitaalam inaitwaje?
Dada mmoja alifumuliwa kichwa vibaya mno. Maiti ilikaa barabarani karibia masaa manne tangu auwawe. Mmoja kati ya askari waliokuja eneo la tukio alipomuona marehemu, chozi lilimdondoka. Nilishangaa sana
 
Askari polisi TP na wanajeshi TPDF wengi wao ni watu wema na wazuri sana. Mfumo ndiyo changamoto.
 
Back
Top Bottom