Waliopaulia mabati ya Sunda, yanapauka baada ya muda gani? Hayavuji ?

kimara Kimara

Senior Member
Joined
Jul 7, 2024
Posts
141
Reaction score
287
Mambo vipi maboss, natumai mko poa.

Naomba kufahamu kuhusu ubora wa mabati ya Sunda gauge 30.

Kwa wale waliopaua wakitumia bati hizi, je, zimekuwa na matatizo kama kupauka rangi au kuvuja baada ya muda mfupi? Au kama kuna jirani yako alizitumia, unaweza kunishirikisha uzoefu wake.

Nataka kujua kama zinaaminika kabla sijafanya uamuzi wa kununua. Asante sana kwa msaada wako.
 
Miaka 2 tu at maximum yanapauka...

Tumia SUNSHARE au ALAF
 
Mambo vipi maboss, natumai mko poa.

Naomba kufahamu kuhusu ubora wa mabati ya Sunda gauge 30.

Kwa wale waliopaua wakitumia bati hizi, je, zimekuwa na matatizo kama kupauka rangi au kuvuja baada ya muda mfupi? Au kama kuna jirani yako alizitumia, unaweza kunishirikisha uzoefu wake.

Nataka kujua kama zinaaminika kabla sijafanya uamuzi wa kununua. Asante sana kwa msaada wako.
Jaribu kutumia ALAF kwa miaka kumi kisha upaulie SUNDA kwa miaka miwili then ulete mrejesho katika kipindi kisichopungua miaka 13
 
Kaka alafu bado moja 790,000 sio rahisi kwa mtu mwenye kipato cha kuunga unga
 
Sijawahi kutumia, ila bati nyingi ni feki, bati bora ni Alaf then sunshine, Hao wengine zinanga'aa mwanzoni tu but few months later zinaanza kupauka na kushika kutu
 
Ambayo atuja tumia bati z Sunda tunacoment wap, bati yang pendwa n Alaf
 
Ikivuka msimu mmoja wa mvua Niko pale
Kuna mmoja alipoezeka tu mvua ya kwanza ikaosha rangi
Kutoka kijana ikaja kama nyekundu saiv inaelekea kuwa nyeupe
Mwaka wa tatu haujafika
Kumbe bei rahisi na linabadilika na kuwa na rangi mpya kila baada ya muda 💪💪
 
Back
Top Bottom