kimara Kimara
Senior Member
- Jul 7, 2024
- 141
- 287
Ngoja waje, maana leo nmeulizia bati za Sunda migongo mipana gauge 30 wanasema 18,000Mie pia nasubiri
Bei nzuri ila ubora sasa ndio tusikie wenye uzoefu.Ngoja waje, maana leo nmeulizia bati za Sunda migongo mipana gauge 30 wanasema 18,000
Miaka 2 tu at maximum yanapauka...Mambo vipi maboss, natumai mko poa.
Naomba kufahamu kuhusu ubora wa mabati ya Sunda gauge 30.
Kwa wale waliopaua wakitumia bati hizi, je, zimekuwa na matatizo kama kupauka rangi au kuvuja baada ya muda mfupi? Au kama kuna jirani yako alizitumia, unaweza kunishirikisha uzoefu wake.
Nataka kujua kama zinaaminika kabla sijafanya uamuzi wa kununua. Asante sana kwa msaada wako.
Shida vipato vyetu nduguMiaka 2 tu at maximum yanapauka...
Tumia SUNSHARE au ALAF
SawaaMm Sunday ninayo mwaka wa 5 ipo OK
Jaribu kutumia ALAF kwa miaka kumi kisha upaulie SUNDA kwa miaka miwili then ulete mrejesho katika kipindi kisichopungua miaka 13Mambo vipi maboss, natumai mko poa.
Naomba kufahamu kuhusu ubora wa mabati ya Sunda gauge 30.
Kwa wale waliopaua wakitumia bati hizi, je, zimekuwa na matatizo kama kupauka rangi au kuvuja baada ya muda mfupi? Au kama kuna jirani yako alizitumia, unaweza kunishirikisha uzoefu wake.
Nataka kujua kama zinaaminika kabla sijafanya uamuzi wa kununua. Asante sana kwa msaada wako.
Kaka alafu bado moja 790,000 sio rahisi kwa mtu mwenye kipato cha kuunga ungaJaribu kutumia ALAF kwa miaka kumi kisha upaulie SUNDA kwa miaka miwili then ulete mrejesho katika kipindi kisichopungua miaka 13
DuhIkivuka msimu mmoja wa mvua Niko pale
Kuna mmoja alipoezeka tu mvua ya kwanza ikaosha rangi
Kutoka kijana ikaja kama nyekundu saiv inaelekea kuwa nyeupe
Mwaka wa tatu haujafika
Thanks 🙏Sijawahi kutumia, ila bati nyingi ni feki, bati bora ni Alaf then sunshine, Hao wengine zinanga'aa mwanzoni tu but few months later zinaanza kupauka na kushika kutu
Kama shida ni kipato wewe nunua tu hizohizo za bei rahisi baadae zikipauka unazipaka rangi tu maisha yanaendeleaShida vipato vyetu ndugu
Kumbe bei rahisi na linabadilika na kuwa na rangi mpya kila baada ya muda 💪💪Ikivuka msimu mmoja wa mvua Niko pale
Kuna mmoja alipoezeka tu mvua ya kwanza ikaosha rangi
Kutoka kijana ikaja kama nyekundu saiv inaelekea kuwa nyeupe
Mwaka wa tatu haujafika
Kumbe bei rahisi na linabadilika na kuwa na rangi mpya kila baada ya muda